Ila nahisi ungewaalika na ile jinsia nyingine cos nao wanahusika in one way or another
they would be in a good position to give you the good reasons
mimi ushauri wangu ni kwamba tulizana tu ..wewe kitulize ipo siku kitapata
Watch out Mamndenyi,
Shelf life yake ni between 18 - 39 yrs! Expires at 40 and above. Anyway, napita tu sikupaswa kuchangia hii thread kwa sababu is for ladies only. Nimekuwa gate crusher!
Japo umetutenga, ila hofu kubwa ya wanaume wa sasa ni kutokana na ugumu wa kupata watoto unaotokana na matumizi ya viungo kabla ya wakati au hali ya afya za wahusika, pili ni kutokana na uharibifu unaofanya sehemu husika fikiri kijana tangu miaka 9 au 10 sasa 25 yaani ana uzoefu wa miaka 15 au 20 katika fani unategemea kunako ndoa kumebaki kitu. Ndio maana kigezo cha kwanza cha kuhalalisha ndoa kwa wazazi ni mimba, wewe huoni kwenye kumbi za sherehe za ndoa kila muolewa amebeba kichanga tumboni huo ni ushauri toka hata kwa wazazi wenyewe.Wanawake/wadada wenzangu, naomba mnisaidie katika hili tatizo linalonikabili ambalo naona linazidi kuwa sugu kwa sasa; Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikipata wachumba wengi tu wanaodai wana lengo la kuishi nami kama mke na mme baadaye. Tatizo ni kwamba kila mmoja hutaka "kuonja" na nikimtolea nje "husepa" na kukata mawasiliano na mimi kabisa.
Wanawake/wadada wenzangu wapenzi, ninyi mnakabiliana vipi na hili tatizo? Natamani kuwa "mrs" lakini kwa mwendo huu naanza kuhisi kuwa nitakuwa "miss" wa kudumu.
Wanawake/wadada wenzangu, naomba mnisaidie katika hili tatizo linalonikabili ambalo naona linazidi kuwa sugu kwa sasa; Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikipata wachumba wengi tu wanaodai wana lengo la kuishi nami kama mke na mme baadaye. Tatizo ni kwamba kila mmoja hutaka "kuonja" na nikimtolea nje "husepa" na kukata mawasiliano na mimi kabisa.
Wanawake/wadada wenzangu wapenzi, ninyi mnakabiliana vipi na hili tatizo? Natamani kuwa "mrs" lakini kwa mwendo huu naanza kuhisi kuwa nitakuwa "miss" wa kudumu.
Duh! Leo@Smile umekuja kivingine,hata Siamini!mimi ushauri wangu ni kwamba tulizana tu ..wewe kitulize ipo siku kitapata
Asante kwa kutualika.
Tatizo lenu nyinyi wadada wanaume mnaowatamani mnawapa papuchi bila masharti yoyote. Tukija sisi wengine mnatupa masharti tuwaowe kwanza, sasa na sisi machale play, hivyo tunatoka mbio mbaya mno tunajua mnataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia. Yaani mimi kukutongoza wewe mara ya kwanza tu wewe tayari unaniambia nikuoe? hapo natoka mbio kama Usain Bolt.
ahaaa mwanaume wa kuoa nadhani utamjua tu! kugegedana kitu gani bwana hata kuku wanagegedana! mwanaume wa kuoa wala hana time kiviile na hayo mambo. atapenda kukujua na kukufahamu vizuri wewe mtu hakujui hata jina la pili , hajui hata dini yako anakuambia mambo kibao ....huyo akuombe tu uamue umpe au vipi aache kudhalilisha neno ndoa!mi nashukuru sijawai kuombwa kwa jina la ndoa!
Duh! Leo@Smile umekuja kivingine,hata Siamini!
its not such a big deal!
unafanya mapenzi kwa kuwa yu feel it sio kwa kuwa unataka au uitumie kama a bait kwa mchumba!
anaweza akasubiri na mpka akaoa!lakini akishapata akawa wa ajabu vile vile!
la msingi ni vile wewe unajisikia!
WITH OR WITHOUT MARRIAGE,love making is in your mind!
twist mawazo yako kidoooogo!sijakwambia ufanye ili wakuoe!NOPE !NOPE!fanya kwa kuwa yu feel it!IF NOT!ACHA!na hii si kwa sababu unataka aliye serious na ndoa,but HUJISIKII KUFANYA hata na yule anayesema yuko tayari kwa ndoa!
hatutoi miili yetu kwa kuwa tu tunataka tuolewe!WE JUS FEEL LIKE DOING SO!
Si uwaambie wewe ni bado bikira? sasa kama uliwapa wengine wakatoboa na kubembea wao unawakatalia si wanakuona zoba?. Sera hizo uwe nazo tangu mwanzo sio kuibuka nazo tu kimtindoWanawake/wadada wenzangu, naomba mnisaidie katika hili tatizo linalonikabili ambalo naona linazidi kuwa sugu kwa sasa; Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikipata wachumba wengi tu wanaodai wana lengo la kuishi nami kama mke na mme baadaye. Tatizo ni kwamba kila mmoja hutaka "kuonja" na nikimtolea nje "husepa" na kukata mawasiliano na mimi kabisa.
Wanawake/wadada wenzangu wapenzi, ninyi mnakabiliana vipi na hili tatizo? Natamani kuwa "mrs" lakini kwa mwendo huu naanza kuhisi kuwa nitakuwa "miss" wa kudumu.
kinini hicho yarabi?
havina expire date lakini.
nikuulize hao wanaokuja unawakubalia wote just because unataka kuolewa au kuna mmoja ambaye nawe moyo umeridhia.
and how do they start with nataka kukuoa thing.
Do you start as friend au intention ya ndoa inasemwa mwanzoni.
Nina wasiwasi wanajua uko desperate ndio maana wanaingia kwa gear ambayo wanajua unapenda kuisikia.
haya about kufanya mapenzi kabla; ni mtazamo tu. Mimi kwa umri na exprience sidhani sana naweza kukubali kuoana bila kujuana vizuri. Lakini bado swala la kutoa papuchi it has to be mutual feeling kiasi kwamba kama kuna issues au kutoridhiana mwenzangu aweze kwenda mbele au mimi niende mbele; "mpaka kifo kitutenganishe", l dont take it lightly.