Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,417
wanajf,
jamani hapa nna flash disk ya imation ina software ya kuweka password, nilimuazima mtu atumie akaweka password, na haikumbuki sasa flash imekuwa write protected, haikubali kuweka kitu, kufuta, kuformat yani haikubali kufanya chochote isipokuwa kucopy mafaili yaliyo kwenye flash, mwenye kuweza nisaidia jamani mchango wako utakuwa wa msaada sana kwangu

natanguliza shukrani,
C6
C6