Msaada please computer yangu inasumbua hapa wakati wa kuwaka

Joined
May 27, 2017
Posts
21
Reaction score
5
Leo wakati na install Windows 8.1 nilijikuta naformat local disk C kuangalia kumbe Window setup haikuwa inasatisfy computer
Hivyo nikarudi kuwasha komputer yangu ili nilog in ila ikagoma ikaniletea errors sasa sijajua namna Ya kudeal na hili

Tafadhali naomba mnisadie

2ca9e703538451a0045ae428860cf013.jpg

Ilikuwa inaonekana hivi
 
Ngoja waje wataalam. Mi pia computer yangu inatatizo LA charging,
 
Leo wakati na install Windows 8.1 nilijikuta naformat local disk C kuangalia kumbe Window setup haikuwa inasatisfy computer
Hivyo nikarudi kuwasha komputer yangu ili nilog in ila ikagoma ikaniletea errors sasa sijajua namna Ya kudeal na hili

Tafadhali naomba mnisadie

2ca9e703538451a0045ae428860cf013.jpg

Ilikuwa inaonekana hivi
insert cd ya window, then zima pc, af washa tena uinstall upya
 
Back
Top Bottom