Msaada please: Bei ya pete za ndoa

Charliemic

JF-Expert Member
Feb 17, 2019
585
919
Natanguliza heshima kwenu, anayejua mahali wanapouza pete nzuri za ndoa mbili, kwa gharama ya 400K-500K kwa location ya Dar es salaam anijuze....

Pia kwa anayejua fundi mzuri wa suti kwa gharama isiyozidi 200K Location ni Dar es salaam
 
Dar es salaam
Ukiwa Mnazi Mmoja Uliza Mtaa Wa Kitumbini Utakuta Maduka Tele Hapo Sasa Ni Pesa Yako Wewe Mwenyewe
 
Mimi napajua wanapouza kwa gharama ya Million moja kwenda juu. Ukihitaji nicheki pm
 
Natanguliza heshima kwenu, anayejua mahali wanapouza pete nzuri za ndoa mbili, kwa gharama ya 400K-500K kwa location ya Dar es salaam anijuze....

Pia kwa anayejua fundi mzuri wa suti kwa gharama isiyozidi 200K Location ni Dar es salaam
Mtaalamu wa suit Jeetu
0784 483 242

Wataalamu wa Viti Yakub Jewllers Mlimani city
+255 784 275 330
 
Mcheki hyu mdosi wa metro jewellers
Yuko twn dsm 0713248973

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom