Msaada pleas! pleas!

Mtumeeeeee! unakuwaje ukipnda yani unakusudia unakua kama dawa ya mbu au mshikio wa bakora,samahani kama ntakua nimekukera na suala langu.
 
Aah!jembe acha hizo! Dawa ya mbu au bakora ni mkunjo mkali sana! Yaani ukisimama ni kama unakuwa upinda kushoto kidogo@asabaya
 
Hakuna dawa ya kunyoosha uume bwana..ni jinsi unavoiweka na uache kuvaa chupi vaa boxer..
 
Jamani msaada kwa wanaojua dawa ya kunyosha uume uliopinda! Na vyakula vya kuongeza nguvu za kiume!

Usivae chupi. Acha uume uning'inie. Baada ya kama mwezi mambo fresh. Kuharakisha matokeo mazuri zaidi ufunge na jiwe.

Kula tende, maziwa, tikiti maji, pweza, fanya mazoezi kwa sana, ,,,,,,,,,,,,
 
Aah!jembe acha hizo! Dawa ya mbu au bakora ni mkunjo mkali sana! Yaani ukisimama ni kama unakuwa upinda kushoto kidogo@asabaya
Ohh! nimeshanga kwani ukiwa hivyo kua umepinda kushoto au kulia kwa sana kuna tatizo kwenye ku DO? au inamnyima raha tuu?
 
Kama uko Dar, pale bamaga petrol station wanafanya wheel algniment na shaft algniment.wahi
 
Jamani msaada kwa wanaojua dawa ya kunyosha uume uliopinda! Na vyakula vya kuongeza nguvu za kiume!

Ugonjwa wa Peyronie's (pia hujulikana kama "Induratio penis plastic),ni magonjwa sugu ya uvimbe katiaka misuli inayohusika katika kudidisha mboo (Tunica Albuginea) Athari hizo pia zaweza patikana katika misuli lain,i na karibia 10% ya wanaume wanaathari hizi lakini wanaona aibu au wanaona ni kawaida tu. Athari hizi husababisha nminofu kama sponge zitengenenzo umbo la uboo (corpora carvenosa) pia kusinyaa au kushindwa jaa damu vizuri wakati wa kudidisha. Na kwa watu wengine huweza pata hata maumivu wakati wamedindisha. Kutokana na hitilafu hizo watu wengine waweza hata kushindwa didisha wakati wa baadae. Matibabu mbalimbali yamejaribiwa lakinahakuna lililo fanikiwa. Lakini kiasi Fulani cha kupinda lazima kijulikane kuwa ni kawaida.

Mboo ya binadamu na ugonjwa wa Peyronie
Kwa watu wengine inasemekana pia wakati wa ngono huwa wanapata maumivu lakini ushahidi si wakutosha. Wengi wenye ugonjwa huu wanadamu ya groupA.
Daktari bingwa (urologist) anaweza kukupatia ushauri zaidi.

Katika matibab jaribuvitmin E, lakini ni vizuri umuone daktari. Pia waweza kuwa unaifanyia massage J wewe mwenyewe. Au uwe unaifunga vijiti ili kuinyoosha. Ikishindikana chaguo la mwisho ni upasuaji. Pia psycologist anaweza kukutibu kimawazo ili usiwe unafikiria huko tu.
 
kwenye ku DO hakuna tatizo sema inaninyima raha na cjui mbele ya safari itakuwaje!

mkuu hakuna shida yoyote hata wangu umepinda kama ndizi mshale tena huwa unanipa sana tough maana huwa unasugua nanihii ya mwanamke vizuri especially G-Spot
 
Jamani msaada kwa wanaojua dawa ya kunyosha uume uliopinda! Na vyakula vya kuongeza nguvu za kiume!

Omba msaada wa nguvu za kiume lkn mimi
lkn hilo la kuwa uume umepnda sion kama tatzo
mbona hata mimi ngoma kushoto lkn kaz kama dawa!!
Kwa habar nilizopataga kuwa unatahiriwa ukiwa unauguza kdonda ule upande unaopenda kulalia ndo inapindia huko huko! Lkn sina uhakika na hilo
 
thanx jembe!
 
Back
Top Bottom