theD
JF-Expert Member
- Mar 23, 2018
- 297
- 500
Playstore yangu haitaki kuapdate applications,kila nikijaribu inaleta haya majibu
Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu hii imegoma bado tatizo liko pale paleClear cache na data za playstore
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Ni apps zote znagoma ku update au ni playstore tu
Ni apps zote znagoma ku update au ni playstore tu
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us