Ukiwa na incompatible(Adobe wameziona hazina nguvu ya kumudu 3d kikamilifu) graphics card sana sana hizi za Intel haitokeagi.
Kama unataka kujaribu kuforce fungua Photoshop yako nenda Edit > Preferences>Performance
Hapa kwenye performance angalia mahala pameandikwa "Graphics Processor Settings"
Ukipaona weka tick kwenye "Use Graphics Peocessor"
Funga Photoshop alafu iwashe kama bado jua card yako haina uwezo wa kutosha
Alafu hakikisha hiyo Photoshop Cs6 ni Extended