MSAADA: PGSS 6/1 ni mshahara sh ngapi serikalini

MSAADA: PGSS 6/1 ni mshahara sh ngapi serikalini

Habari wanajamii! Naomba kujua utofauti wa shule kama Chang'ombe katika mishhara ya walimu na shule zingine ambazo hazipo chini ya taasisi za umma. I mean mshahara ni shilingi ngapi kwa mtu mwenye elimu ya Bachelor. Asnte
Mshahara ni makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa kutegemeana na "umuhimu "wako ktk eneo husika
Ila kazi za mikataba kuna mfumo umewekwa ambapo elimu inaweza kufanana ila mshahara tofauti mfano degree wa st fransis mbeya hawezi fanana na degree wa ist japo zote za binafsi au feza aiwezi fanana na marian girls...japo zote za binafsi
Kwa kua kila taasisi ina scheme of service tofauti na ya mwenzake kutegemeana malengo uwezo wa kipato na matumizi pia ikiwezekana na aina ya mmiliki
 
Back
Top Bottom