Mkuu naona wasomi bado wamelala. anyway kwa kukusaidia tu jaribu kutembelea wavuti ya hicho chuo bila shaka utapata msaada hukoMsaada: Mtu aliyesoma HGE a'level,pia akiwa na Dip in Educ,BA-Geography&Environmental Studies and MSc. in Natural Resoures Management anaweza kupata Postgraduate Diploma in Geomatics hapo ARU?
Daa. Tuwasubiri wenye ufahamu na hiki chuo watupe somoHiyo ninajua.Ila haiko bayana.