Msaada pes 2012

Msaada pes 2012

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361
Waadau nimeinstall PES 2012 kwenye laptop yangu imekubali lakini nikiifungua inaload vizuri hadi sehemu ya kucreate avatar inastuck then inatokea dialog box ya windows PES 2012 has stopped working.Anayejua solution naomba anisaidie
 
siijui hiyo application ila nadhani ni issue ya compatibility, kwa window vista na 7 unatakiwa kwenda kwa setup ya hiyo software na right click na pale kwa compatibility change to window xp then fanya reply & ok hapo fanya re-installation
 
kaka unayeulizia kuhusu pes2012 siunamaanisha pes football game au?
 
siijui hiyo application ila nadhani ni issue ya compatibility, kwa window vista na 7 unatakiwa kwenda kwa setup ya hiyo software na right click na pale kwa compatibility change to window xp then fanya reply & ok hapo fanya re-installation
This works..shukrani sana
 
Samahani Mkuu,naweza kuipata hiyo PES 2012?
 
Back
Top Bottom