Kumbe watumishi wa bank nao sio wa mchezo mchezo.?Kumbe watumishi wa bank,plan international na wizarani si watu wa kawaida?!!
Kweli ww mbwa dume!Kumbe watumishi wa bank nao sio wa mchezo mchezo.?
Ngoja nikatafute kademu kangu nilikokapiga chini mwezi January kanafanya kazi bank sijui kitengo gani ila mshahara wake laki tatu kamepanga Vingunguti chumba cha single kisicho na umeme choo cha shimo na maji ya madumu bafu passport size.!
Kama kweli wafanya kazi wote wa bank wako njema basi huyu atakuwa anapenda kuishi hivi.
Hayo majini yaje tu kwakweliZa Arabic zina ujini ujini kwa kiasi flan!!
Wazee tutajien zisizozidi 20, wengne tuna uchumi wa ku_download
husemi Budget yako shauri ako watu wote humu wanaishi mbele perfume utazotajiwa na uhakika hutonunua hata 1..mi nakushauri kiroho safi kanunue kikopo cha mafuta ya Skala kimeandikwa Pefumed petroleum Jelly dukan kwa mangi kinauzwa 500(jero) ila hata 400 anachukua...harufu yake ukipaka Huku mbezi beach mtu wa tandale anaskia.. Sema ndo ivyo inanukia ki beki tatu..Ila we si unataka kunukia Chomoka na hiyo...Mi mwenzako napambana na hali yangu.
...................Naunga mkono hoja,hatari sana hii kitu.....Mzee chukua blue for men. Nzuri unaweza ombea hata mkopo benki harufu yake.
Black X?Am here lady...
Manukato yenyewe ni Paco Rabanne!
Achana nae sio mzima au we we sio mzuriJamani kuna mkaka niliwahi kusafiri nae mwanza 2 bukoba alikuwa ananukia ki ukweli nilidata ....natamani nimuulize jina la pafyum aliyotumia nashidwa! Natamani nimuombe no nashidwa......kama yuko humu namtafuta