Msaada; Natafuta perfume yenye harufu nzuri

Mbwa dume

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
3,298
2,000
Kumbe watumishi wa bank,plan international na wizarani si watu wa kawaida?!!
Kumbe watumishi wa bank nao sio wa mchezo mchezo.?
Ngoja nikatafute kademu kangu nilikokapiga chini mwezi January kanafanya kazi bank sijui kitengo gani ila mshahara wake laki tatu kamepanga Vingunguti chumba cha single kisicho na umeme choo cha shimo na maji ya madumu bafu passport size.!
Kama kweli wafanya kazi wote wa bank wako njema basi huyu atakuwa anapenda kuishi hivi.
 
Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
48,783
2,000
Napenda Arabic smell nkispray zile body spray za Arabic, na udi naona swaaafi perfume ya laki 2 ntanunuliwa na future kingbae
 
Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,102
2,000
Kumbe watumishi wa bank nao sio wa mchezo mchezo.?
Ngoja nikatafute kademu kangu nilikokapiga chini mwezi January kanafanya kazi bank sijui kitengo gani ila mshahara wake laki tatu kamepanga Vingunguti chumba cha single kisicho na umeme choo cha shimo na maji ya madumu bafu passport size.!
Kama kweli wafanya kazi wote wa bank wako njema basi huyu atakuwa anapenda kuishi hivi.
Kweli ww mbwa dume!
 
Smart Guy

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
3,639
2,000
husemi Budget yako shauri ako watu wote humu wanaishi mbele perfume utazotajiwa na uhakika hutonunua hata 1..mi nakushauri kiroho safi kanunue kikopo cha mafuta ya Skala kimeandikwa Pefumed petroleum Jelly dukan kwa mangi kinauzwa 500(jero) ila hata 400 anachukua...harufu yake ukipaka Huku mbezi beach mtu wa tandale anaskia.. Sema ndo ivyo inanukia ki beki tatu..Ila we si unataka kunukia Chomoka na hiyo...Mi mwenzako napambana na hali yangu.

Smart guy
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom