Msaada: Penzi La Aunt (shangazi) linanitoa roho ...

Msaada: Penzi La Aunt (shangazi) linanitoa roho ...

Ikimbieni Zinaa maana kila aziniye na Mwanamke hana akili kabisa, afanya kitendo kitakachoangamiza maisha yake....
 
Yani wewe viburudisho vimejaa mtaani ukaona umkamue shangazi ako! dah...
kwahiyo ukiwa unagegda wamuita baby au shangazi!
Weka mbali na watoto
 
Duuuh! Wewe ni noma mkuu. Kwenye simu yako umemSave kwa jina gani?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
oooooph! SHANGAZI! dah this is toooo much to handle....ukiwa juu yake akili yako huwa sawa?
 
Job 22:21, 25
Imekuwa kama mzigo kwangu kwa sasa, mwanzo niliamin itakuwa kwa muda tu.
Mimi sikuwahi kumtaka wala kumtamani, sijui ni nini alikifanya kwani ghafla nilijikuta nami nimempenda hata kupelekea kumpa mimba iliyoleta tafrani, kabla ya yeye kuitoa na kunilazimisha kuendelea na mahusiano naye.
Najisikia kumchukia kwa sasa, simfurahii tena, natamani hata ningekufa nisimuone tena. Bado dhambi ya abortion inanisumbua moyoni, namuona ni muuaji asiye na huruma.
Tatizo nitapomkataa itakuwa mwisho wa masomo yangu chuo,
na anatishia kunisemea kwa uncle (mumewe) kwamba ninamtaka kimapenzi na kwa jinsi uncle anavyompenda mkewe, hatonielewa kwa lolote.
Naogopa pia kumweleza uncle kwan najua hatoniamini mimi, anampenda na kumwamini mkewe,
nahisi itakuwa hatari zaidi kwangu.
Najutia makosa yangu kwa sasa,
nimekosa njia ya kujitoa, nahitaji msaada wenu marafiki
 
Nitarudi baadaye!!! Maana Ni Ngumu kumeza!!!!!!!!!!
 
dah hii kali kwa kweli.
hakuna pengine unaweza pata msaada wa kusoma chuo?
loarn board????? aisee uncle wako akijua utakiona cha moto
 
una muda gani tangu uanze kumgegeda? nini kinacho kufanya kumchukia/kutompenda sasa ( zaidi ya abortion) ?
ukijibu hayo ndo nitakushauri
0.5%
 
huyu ashawahi kuja hapa na hadithi hii hii inakuaje umemsahau best.....anatuzingua tu.
Heri ya Mwaka mpya mpendwa!

Hata mi nakumbuka hii hadithi alishakuja nayo few weeks ago! Aargh!

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
I am tired with these stuffs!
Days in and days out nimemgegeda shangazi and the likes...it's getting boring now
 
huyu ashawahi kuja hapa na hadithi hii hii inakuaje umemsahau best.....anatuzingua tu.
Heri ya Mwaka mpya mpendwa!

Huyu hata mimi nakumbuka huu ujinga wake mpuuzi sana.Uwe na heri pia katika mwaka huu mpya.
 
Imekuwa kama mzigo kwangu kwa sasa, mwanzo niliamin itakuwa kwa muda tu.
Mimi sikuwahi kumtaka wala kumtamani, sijui ni nini alikifanya kwani ghafla nilijikuta nami nimempenda hata kupelekea kumpa mimba iliyoleta tafrani, kabla ya yeye kuitoa na kunilazimisha kuendelea na mahusiano naye.
Najisikia kumchukia kwa sasa, simfurahii tena, natamani hata ningekufa nisimuone tena. Bado dhambi ya abortion inanisumbua moyoni, namuona ni muuaji asiye na huruma.
Tatizo nitapomkataa itakuwa mwisho wa masomo yangu chuo,
na anatishia kunisemea kwa uncle (mumewe) kwamba ninamtaka kimapenzi na kwa jinsi uncle anavyompenda mkewe, hatonielewa kwa lolote.
Naogopa pia kumweleza uncle kwan najua hatoniamini mimi, anampenda na kumwamini mkewe,
nahisi itakuwa hatari zaidi kwangu.
Najutia makosa yangu kwa sasa,
nimekosa njia ya kujitoa, nahitaji msaada wenu marafiki

Mnaishi nyumba/sehemu moja?
Hakuna uwezekano wa kuhama?
Wewe hauna mke?
Umeshaongea na mchungaji/shehe/padre (3rd reliable part) kuhusu swala lako?
 
Ukweli utakuweka huru, shirikisha padri/mchungaji/shehe tubu dhambi yako,uwe tayari kwa lolote kwani apandacho mtu ndicho avunacho! ukitubu kiuhalisia usiogope Mungu atafungua mlango mwingine , achana na hayo makitu na usiogope kuwa elimu itakuwa mwisho kumbuka heri aibu kuliko fedhea!!!
 
kazi kweli kweli, mwingine kasema mjomba, huyu naye shangazi sasa hawa wajomba na shangazi jamani mweee
 
Back
Top Bottom