Habari za kazi wakuu?
Laptop imekuwa na tatizo ambalo silielewi, nimekuwa nikajaribu ku-install program inayoitwa artilantis studio kwa ajili ya rendering ya jengo..
Kila ninapojaribu kufanya hivyo inaleta alert ya "" CAtl4_64.dll is missing "
Naomba msaada hasa wa link kudownload hiyo CAtl_64.dll