kijana wa wahovyo
Member
- Oct 10, 2022
- 26
- 22
Pc yangu inaonesha hivi, shida ni nini?
imecrack kiooNa mimi yamenikuta
Ulisha solve?Na mimi yamenikuta
Soma chini nitaweka tatizoNa mimi yamenikuta
Kioo hakijacrakimecrack kioo
Shida sio BIOS shida ni kuwa pale unapowasha pc yako BIOS inafanta power on self check(POST) ili kuangalia kama vifaa vinafuction kama ram,cpu na hdd hapo imegundua kwamba Hard disk yako either haiwezi kusoma/read data hii inaweza tokana na labda umedondosha pc yako na imecorapt chansingi nenda kwa fundi ajaribu kuicheki hiyo harddisk au ununue mpyaHapana shida ni BIOS
Hapo haijacheza HDD inasoma ila imefikia O% HEARTHTatizo la harddisk imecheza ama imekufa jaribu kuitoa hdd uirudishe huku unahakikisha imekaza.
HDD imecheza hiyo, pachika vizuriPc yangu inaonesha hivi, shida ni nini?View attachment 2533808