Naombeni usaidizi katika tatizo hili la PC yangu

Kiti Chema

JF-Expert Member
Oct 18, 2017
1,793
1,941
Pc, ilikuwa ni nzima kabisa ila baada ya mda nilipo iwasha ikawa imeleta maelezo haya,
Boot device not found
please install an operating system on your hard disk
Hard Disk (3F0)
F2 system Diagnostics
For more information,please visti ww.hp.com/go/techcenter/startup

IMG_20210104_161618_1.jpg
 
Kama kuna External device yoyote umechomeka kwenye PC jaribu kuondoa kabla ya kuwasha.

Pia unaweza kuangalia boot sequence order of devices kwenye BIOS setting, hakikisha HDD iliyo na OS iwe priority.
 
Kama kuna External device yoyote umechomeka kwenye PC jaribu kuondoa kabla ya kuwasha.

Pia unaweza kuangalia boot sequence order of devices kwenye BIOS setting, hakikisha HDD iliyo na OS iwe priority.
Hakuna external device niliyocho kiongozi
 
Unapoiwasha press f10. Halafu kaangalie kama legacy support ipo disabled, na kama ndivyo basi fanya iwe enabled.
 
Back
Top Bottom