Sawa mkuu, nashukuru ntafanya hvoTatizo la hiyo computer ni file linaloitwa BOOT MANAGER limepotea au limefutwa. File hilo ni muhimu sana wakati computer inaanza kuwaka. Inaonesha wewe sio mtaalamu wa kufanya OS installation ndio maana hilo tatizo limefanyika hata hiyo windows 10 pia uliweka kimakosa ndio maana ikakataa kuwasha computer.
Hapo unatakiwa kufanya windows installation ya uhakika. na iliyosahihi kama unahisi haujui vizuri basi tafuta mtu wa IT wa karibu akusaidie usisumbuke sana.
Nenda kwa computer engineer akakusaidie, unapoteza muda hukuNdo sijafaham ni kitu gan hicho mkuu
Kama unaweza kufika kwenye 'commandline", Run command zifuatazo
bootrec /RebuildBcd
bootrec /FixMbr
bootrec /FixBoot
Otherwise boot na DVD ya Windows na kisha attempt "Startup Repair".
Asante mkuu, ngoja nifanye hvoHapo Tatizo Lina Option Tatu Muhimu
1.Hapo Badirisha CD ya window unayoitumia kama ni flash basi iboot upya window yako yaweza kuwa ipo corrupted.
2.Option Ya Kwanza Ikiwa Sawa Na Imegoma Fungua Upande Wa HDD ichomoe Na Iweke Tena Kisha Rudia Option Ya Kwanza.
3.Option Ya Pili Ikigoma Pia Basi Unatakiwa Ubadilishe HDD Lakini Kama HDD NI Nzima Waweza iformatia Kwa Pc Nyingine Ama Ukaiweka Na Window Kabisa Kisha Irudishe Kwako naamini Itakaa Poa.
Option Zote Tatu Zikigoma Basi Jua Inabidi Umpelekee Fundi Moja Kwa MOja ama waweza Nicheck For futher Info
Ila naamini Hapo itakuwa Solved