MSAADA PC YANGU HAIWAKI

Oluwa ni

JF-Expert Member
May 24, 2015
717
445
Wakuu habari zenu...

Nina laptop yangu ya toshiba, ilikuwa na window 7 ila baada ya window 10 kutoka ikabidi niipige window 10....

Baada ya kuipiga window 10 ilikuwa inasumbua kuwaka kwaiyo nikaamua kuirudishia window 7...

Wakati napiga window 7 ikawa inagoma kabisa na mpaka sahivi nikiiwasha inaandika BOOT IS MISSING

NAOMBA MSAADA WAKUU
d9464c14f69d42a6e84d227dd9960b17.jpg
 
BootMGR is missing
Kwa pamoja jaribu ku press Control,alt na delete kwa pamoka kisha uangalie imaomekana kama CMOS battery imekufa
 
Wakuu habari zenu...

Nina laptop yangu ya toshiba, ilikuwa na window 7 ila baada ya window 10 kutoka ikabidi niipige window 10....

Baada ya kuipiga window 10 ilikuwa inasumbua kuwaka kwaiyo nikaamua kuirudishia window 7...

Wakati napiga window 7 ikawa inagoma kabisa na mpaka sahivi nikiiwasha inaandika BOOT IS MISSING

NAOMBA MSAADA WAKUU
d9464c14f69d42a6e84d227dd9960b17.jpg
Tatizo la hiyo computer ni file linaloitwa BOOT MANAGER limepotea au limefutwa. File hilo ni muhimu sana wakati computer inaanza kuwaka. Inaonesha wewe sio mtaalamu wa kufanya OS installation ndio maana hilo tatizo limefanyika hata hiyo windows 10 pia uliweka kimakosa ndio maana ikakataa kuwasha computer.

Hapo unatakiwa kufanya windows installation ya uhakika. na iliyosahihi kama unahisi haujui vizuri basi tafuta mtu wa IT wa karibu akusaidie usisumbuke sana.
 
Iwashe kwenye safe mode Na wakati huo huo uwe online ili Microsoft waweze ku verify kama unatumia genuine products na Siyo kanjanja.. Fundisho : ukishafuta operating system kutoka machine moja na kwenda machine siku zote windows inaikataa unless kama hiyo operating system yako ilikuwa Ya multiple devices!
 
Hakuna windows 9 . kuna windows Xp softwin ambayo haikuwa official release hiyo ndio watu walikuwa wanaiita windows 9. Ingawa hakuna palipokuwa pameandikwa ni windows 9
Niliisearch google nikakutana na hii kitu. Imeandikwa window 9 ultimate 2015-X86 na ipo ya bit 64 kuna baadhi ya video nimezipata youtube zinaelezea hii kitu. Ndiyo sabb nikataka kupata maelezo zaid kuhusu hii window 9
 
Back
Top Bottom