Msaada, PC yangu aina ya dell, haina speed katika kuperuzi

lau_23

Member
Nov 11, 2011
44
24
Naomben msaada wanajamvi.pc yangu (dell inspiron n5010. core i3 intel .Windows 8.1) imekua slow ghafla kwenye kusurf..kuopen webpage inatake mda sana,n inastuck mara kwa mara.nmejarib kubadil browser lakin bado palepale,so what shd i do.
 
ikiwa slow fungua task manager halafu nenda resource monitor au hata click more details then angalia kitu gani kimejaa kama ni cpu, ram, hdd nk tuanzie hapo
 
1. Run up to date antivirus kucheki malware infections!!
2. Disable unused program running on background
3. Cheki hdd space kama iko full delete unimportant files
4. Avoid running multiple program at once with no reason
5. Cheki kama ukifungua browser unakua redirected to the site apart na browser's home page, if that so kuna malware kwenye browser so, uninstall browser and reinstall.

Kama yooote hayo umefanya na still bado una-experience same problem backup ur data and format machine.
 
Naomben msaada wanajamvi.pc yangu (dell inspiron n5010. core i3 intel .Windows 8.1) imekua slow ghafla kwenye kusurf..kuopen webpage inatake mda sana,n inastuck mara kwa mara.nmejarib kubadil browser lakin bado palepale,so what shd i do.
 
Naomben msaada wanajamvi.pc yangu (dell inspiron n5010. core i3 intel .Windows 8.1) imekua slow ghafla kwenye kusurf..kuopen webpage inatake mda sana,n inastuck mara kwa mara.nmejarib kubadil browser lakin bado palepale,so what shd i do.
 
hapo huna jinsi ni either kupunguza matumizi au kununua ssd.

DELL inspiron series huwa zinakuja na Hard Disk zakijinga sana, nilianza kuliona hili mwaka 2012 back days when i started giving my shit with Graphics, PC ilikua slow baadae baada yakufanya diagnosis nikaona ni Hard Disk Error, na the best solution nikureplace.
Baadae nilipata PC nyingi matatizo yakiwa haya haya ya HDD.
Naomben msaada wanajamvi.pc yangu (dell inspiron n5010. core i3 intel .Windows 8.1) imekua slow ghafla kwenye kusurf..kuopen webpage inatake mda sana,n inastuck mara kwa mara.nmejarib kubadil browser lakin bado palepale,so what shd i do.

Fanya Diagnosis ya PC yako uweze kujua tatizo ni nini, usipoona error yeyote fanya ufanye installation tena ya windows.
 
Origina Hard disk ilicorrupt like two years ago.nkabadilisha.nmejarib kuhamishia vitu kwenye external.now naona iko poa.japo sio kama mwanzo but inaridhisha kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom