Msaada pc ukiangalia video inaganda baada ya mda ka ina stream

Msaada pc ukiangalia video inaganda baada ya mda ka ina stream

kama ulivyojibiwa hapo juu ni tatizo la drivers, pc labda ya miaka 20 au 15 iliopita ndio haitaplay video za HD.

pia jaribu player ya media player classic (mpc) hio itakusaidia kama pc ina specs ndogo, ndio media player nyepesi zaidi ya windows.
 
Back
Top Bottom