Habar zenu wandugu,
Mie nina Computer (Laptop) aina ya HP ProBook 4540s ina Window 8. Tangia ni inunue imekuwa na tabia ya kufuta maifili yote ya desktop na my documents automatically kwa interval ya mwezi mmoja hivi. Hili tatizo hujirudia tena baada ya muda huo. Nilijaribu kuirudisha dukani, kwani nilikuwa na warranty ya mwaka mmoja, ila kama kawaida tabia za wabongo (ujanja ujanja na shortcut nyingi ktk biashara) wakagoma hata kunibadilishia PC.
Naombeni msaada wenu , hata kama ni settings ili niweze kuondokana na tatizo hili.
Karibuni wadau.