Msaada: PC internet setup

Ndondobwila

JF-Expert Member
Jun 9, 2015
562
407
WanaJF, nililazimika ku-reinstall windows baada ya matatizo fulani kwenye laptop. Nimeshindwa kufanya setup ya internet.

Tafadhali naomba msaada. Ni windows 7 ultimate
 
Pole kwa matatizo! Una tatizo lakini tunashindwa kukusaidia kwasababu hujajieleza vya kutosha. Jieleze zaidi: Model ya laptop?? na unapo attempt kufanya internet setup unapata kikwazo gani? Je ni wireless internet access inagoma au??
 
Mkuu toa ufafanuzi juu ya tatizo lako ni network drivers au unatumia njia gani kuconnect kwenye internet yani Wi-Fi, Broadband dail-Up,Ethernet.
 
Wakuu na mimi nina tatizo hilo.nimeinstall windows 8 kwenye pc (hp) sasa imegoma ku connect wireless network nashindwa kuelewa tatizo n nin. Windows 8 hua znaingia na driver zake moja kwa moja. ..nimerudia kuweka driver pack 2015 lakin bado tatizo lipo pale pale. .msaada wana jamvi
 
Back
Top Bottom