Msaada :pc imebadilisha kila kitu kwenda ppt files

Msaada :pc imebadilisha kila kitu kwenda ppt files

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
15,895
Reaction score
36,300
Wakuu msaada wenu unahitajika...

Nimeresett pc hapa, ila baada ya kumaliza process mafaili yote yamebadilika kuwa PPTX...
Ni kuanzia audio, video, picha hata exe files....naomba mnisaidie jinsi ya kurudisha hizi files kwenye format ya mwanzo..

IMG-20181111-WA0021.jpeg
 
View attachment 930052

Jaribu ku right click file moja, iwe nyimbo au media, nenda properties, kisha angalia program iliyopo keenye open with, chagua kwenye orodha Application kama windiws media player au vlc, kisha apply. Ikikubali tutarudi kuondoa hiyo ppt extension kwenye file zingine.
 
Nimefanya hivyo...imebadilisha icon tu ila extension ni ile ile
 
Hizo files umezihamisha kutoka external disk au kompyuta nyingine?
 
Kuna wakati ukihamisha hasa keenye eindows 7, zinaweza kuwa encrypted.
 
Nenda kweny moja ya nyimbo ya audio au video right click then nenda palipo andikwa open with then chagua unatak kuplay kwa format gan
 
ni rahisi tuu.. uninstall Microsoft office(ppt ipo ndani yake), after that programs zitarudi kawaida then install it again(office)..
 
Back
Top Bottom