Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,nimekuwa nikitumuia simu janja yangu ku-share internet na PC yangu kwa kutumia njia ya hotspot lakini cha kustaajabisha tangu jana nashangaa PC yangu hai-connect internet kama ilivyokuwa hapo awali. Tafaddhali mwenye kujua suluhisho la hili tatizo anisaidie itakuwa msaada mkubwa sana.
Asante kwa muongozo wako...nikianza ni hiyo namba 3,, sijaweka window mpya muda mrefu sana
labda hapo kwenye namba 2 inaweza kuwa ndipo kwenyewe,,,,kama hutojali waweza kunielekeza nini cha kufanya ili ku-apdate hiyo driver ya wireless
nimeingia hapo uliponielekeza nimekutana na option 3
Broadcom NetExtreme 57xx Gigabit Controller
Intel(R) Centrino(R) Advanced N-6205
Microsoft Virtual WiFi Miniport Adapter
nimeenda mpaka hapo kwenye namba 3 then nika right click nikaona option ya ku-update driver nikaichagua na majibu yamekuwa ..'window has determined the driver software for your device is up to date'.
lakini bado naambiwa 'No connection are available'
Yaani kama ni internet na Bluetooth hazifanyi kazi baada ya ku install window mpya basi moja kwa moja nenda device manager kaupdate wireless & network adaptors zote kikamilifu tatizo litakia solved
Yaani kama ni internet na Bluetooth hazifanyi kazi baada ya ku install window mpya basi moja kwa moja nenda device manager kaupdate wireless & network adaptors zote kikamilifu tatizo litakia solved