Mpesa MasterCard haikubaliNataka kulipa online kwa paypal nimejaribu kulink mpesa mastercard lakini imeshindikana je kuna njia nyingine ya kuweka hela paypal kwa kutumia mobile (kwa tigopesa au mtandao mwingine)
Kuwe kuna dola hata 2Card yangu ni ya mpesa mastercard ina hela kidogo au mpaka iwe na hela ya kutosha?
aiseeHakuna huduma ya PayPal Tanzania
Kuactivate vipi baada ya kujisajili au?
Mbona baada ya kusajili unatumiwa email mda huohuo
Hakuna huduma ya PayPal Tanzania. Sanasana wadau uwa wanatumia line za safaricom kufanya miamala ya PayPal. Uzuri ni kuwa line za safaricom zinasoma bongo
Mimi sijatumiwa hadi leo mkuu, nimetoka kuikagua baada ya kuona comment yako