fanya hivi.
1. zima simu
2. bonyeza cha kuwashia simu na kuongeza sauti kwa
pamoja mpaka simu iingie recovery.
3. bonyeza volume down kushuka chini hadi uifikie wipe
data/ factory reset
4. bonyeza cha kuwashia simu kueka ok kisha kubali
kufuta hizo data.
5. rudi juu kwa kutumia volume up hadi kwenye reboot
system
ukifanikiw leta feedback mkuu