habarini wakuu,
ninatumia printer ya hiti s420 kwa ajili ya kusafishia express pasport size, shida ni kwamba ukiprint picha inatengeneza mstari fulan ambao unaharibu muonekano wa baadhi ya picha za paspot, nimejaribu kufuta vumbi bado sioni mabadiliko. naomba msaada wenu tafadhali

Sina uzoefu na hiti printer, lakini nina uzoefu kiasi na epson photo printers, kwa kawaida mstari unasababishwa na kuziba kwa nozzle moja au zaidi katika head ya printer,' nadhani unajua kwamba print head ina chekecheke au useme matundu mengi madogo madogo (nozzles) kulingana na resolution ya printer. Head inawezakuwa na nozzle 50, 60, ...180 etc. Nozzle inaweza kuziba kutokana na sababu kama vile:
.. Umetumia printer wakati wino umeisha.
..umefunga lock ya kuzuia wino usisafiri.
..uchafu umeingia kwenye head.
..wino ulikuwa fake.
..wino umeganda kwenye head, aidha kwa sababu ulizima printer bila kutumia power button yake.
Huwa ikitokea hivi kwenye epson'
Unahakikisha catridge zina wino wa kutosha, pia unafanya head cleaning.
Ikishindikana tafuta ISOPROPYL wengine wanaita magic solution, hiyo husafisha inkjet heads
Mwl.RCT unaweza kutoa ufafanuzi kidogo kuhusu hili la Thermal Printer inayoweza kuprint photo, sijawahi kufahamu hili kuhusu hiTi printers. na nilidhani thermal printer zote hu print Black and white tena kwenye thermal paper.
Je inatumia wino
ni wino wa unga
au ni thermal completely, yaani inategemea characteristics ya thermal printer?