Natafuta partform kwa kufanya investment yaan mfano kenya kuna hii reveal globally ambayo unaivest na unalipwa 10% tatizo ya hii reveal globally hii fanyi kazi njee ya kenya sasa mimi natafuta partform ya dizain kama hii ya reveal globally ya kufanya investment harafu kingine kama kuna mtu anazijua survey au apps za kumake money tusaidiane.
Mwisho kabisa naomba kujua application ambazo zinaweza poke hela tanzania mfano paypel hii si haipokie hela tanzania sasa mimi nataka zitakazo weza pokea hela tanzania maana nilisikia payoneer na perfect money zinaweza pokea hela kwa tanzania kwa hiyo nuomba uwakika na kujua kama zipo zingne.
Asante sana na samahani kama kiswahili hakija kaaa sawa.