Msaada: Oral interview

yahoocom

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
331
379
Wandugu habarini,

Kama kichwa kinavojieleza,

Nimeitwa oral interview na moja kati bank kubwa hapa Tz, ninaomba mwenye neno/wazo anisaidie niweze faulu.

Nawasilisha.
 
i wish ningepita kimya but ngoja nitie neno:-
  1. Mleta thread ulitakiwa kuelezea ni post gani ili wadau wakupe possible questions etc. above all, jiamini na usikamie sana (over expectation) and whatever comes uwe tayari kukabiliana na situation kwani ni sehemu ya maisha..
  2. For future references (utaniwia radhi kama nitakosea), siyo kila kitu una share with general public...ulitakiwa umshirikishe Mungu akusaidie ukumbuke yale utakayoulizwa. sisi wachangiaji tutapiga miruzi mingi ambayo huenda ikaishia kukuchanganya/kukupoteza...
  3. Believe in God and be responsible accordingly, everything will be alright...Best of Luck
 
1. What are your expectations in joining this institution?
2. How will this institution benefit from you?
3. With your education and experience how much should this institution pay you?

Jiandae kwa maswali yafananayo na hayo hasa la tatu linaulizwaga sana.
 
Una uwezo wa kutema yai? Isije ikawa on behalf of myself! Kama una uwezo nalo nenda umejiamini ni sawa tu mnavyoongea na rafiki yako lakini ukikamia mwanangu utaangukia pua! Ila wadau kama walivyohoji ungeeleza na post ndo ungepata ushauri mzuri. Tusije tukakueleza mambo ya ATM kumbe wewe ni mtu wa kutathimini miradi!
 
Wandugu nawashukuru wote mlionipa ushauri lakini pia na ambao hawakuweza kwa namna moja ama nyengine ilikua sales staff ya NMB; nmepata npo taratibu za mwisho za kuandaa viambata kama utambulisho wa serkali ya mtaa n.a. wadhamin, hope leo ntasain mkataba.
 
1. What are your expectations in joining this institution?
2. How will this institution benefit from you?
3. With your education and experience how much should this institution pay you?

Jiandae kwa maswali yafananayo na hayo hasa la tatu linaulizwaga sana.
Kama uliyaandaa wewe!
 
Back
Top Bottom