Kwa feedback ilioletwa na mdau humu hizo simu zimechakachuliwa kuboot storage, mfano simu ya 32GB inasoma 128GB, hicho kilichotumika kuchakachua kinakinzana na whatsapp na app nyengine, kuflash simu na kuweka firmware upya ina solve hio issue ila storage itarudi halisi.HABARI WADAU, Kichwa kinajieleza, nimejaribu kutafiti nikabaini Google inc ambao ndio wamiliki wa Android wameblock whatsapp na Youtube kwenye Android 7 kushuka chini, japokuwa whatsapp wenyewe hawana tatizo na device zenye matoleo hayo. sasa kama kuna maujanja ya kufanya naomba kuelekezwa. maana niliagiza hii simu ili inisaidie angalau kwa miezi kadhaa wakati nafanya mpango wa kununua simu nyingine. Kwani simu yangu Sumsang S9+ Iligoma touch ghafla.
maujanja ninayoyaulizia hapa ni kama vile kuroot na kuupgrade version kama inawezekana kwa simu hii... Natanguliza shukrani...
Kwa feedback ilioletwa na mdau humu hizo simu zimechakachuliwa kuboot storage, mfano simu ya 32GB inasoma 128GB, hicho kilichotumika kuchakachua kinakinzana na whatsapp na app nyengine, kuflash simu na kuweka firmware upya ina solve hio issue ila storage itarudi halisi.
Mkuu hivi hapa wanafanyaje asee, ninayo pia moja ni gb 256 kwa 6gb Ram ila nimekuta bootloader ipo unlocked na sim ni mpya ni Samsung. Apps kama WhatsApp zinagoma hii issue wanafanyaje..Kwa feedback ilioletwa na mdau humu hizo simu zimechakachuliwa kuboot storage, mfano simu ya 32GB inasoma 128GB, hicho kilichotumika kuchakachua kinakinzana na whatsapp na app nyengine, kuflash simu na kuweka firmware upya ina solve hio issue ila storage itarudi halisi.
Simu sio mpya, wana claim tu ni mpya ila si kweli. Jaribu kuiflash uweke firmware halisi ama mrudishie aliekuuzia asolve mwenyewe.Mkuu hivi hapa wanafanyaje asee, ninayo pia moja ni gb 256 kwa 6gb Ram ila nimekuta bootloader ipo unlocked na sim ni mpya ni Samsung. Apps kama WhatsApp zinagoma hii issue wanafanyaje..
Nina simu ya Android version ya 6.0 inapiga kazi vizuri tu WhatsApp na Youtube.HABARI WADAU, Kichwa kinajieleza, nimejaribu kutafiti nikabaini Google inc ambao ndio wamiliki wa Android wameblock whatsapp na Youtube kwenye Android 7 kushuka chini, japokuwa whatsapp wenyewe hawana tatizo na device zenye matoleo hayo. sasa kama kuna maujanja ya kufanya naomba kuelekezwa. maana niliagiza hii simu ili inisaidie angalau kwa miezi kadhaa wakati nafanya mpango wa kununua simu nyingine. Kwani simu yangu Sumsang S9+ Iligoma touch ghafla.
maujanja ninayoyaulizia hapa ni kama vile kuroot na kuupgrade version kama inawezekana kwa simu hii... Natanguliza shukrani...