MSAADA Obhusegwe

MSAADA Obhusegwe

Masika

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2009
Posts
723
Reaction score
30
Habari marafiki na wana Jf kwa ujumla,
Kuna rafiki mtajwa hapo juu namtafuta sijui amebadili username au yuko nje ya mawasiliano au
anatatizo ila nina shida ya muhimu inayomhitaji! Nimejaribu mobile yake lakini haipatikani pia ingawa kwenye profile yake naona last activity yake ni leo 12pm ila sijui kama yuko active
Kama akiiona hii msg naomba ani pm au anipigie 0713473166,pia kama kuna rafiki yake ana mawasiliano tofauti naomba tuwasiliane anipatie no. yake nyingine!
Namtafuta sana Obhusegwe
 
Mod,kama nimeweka sehemu isiyo na watembeleaje nisaidie kui hamisha
 
Duuu mmepiga sana kimya,lakini nimefanikiwa kupata namba yake nyingine asante kwa walio view
 
Duuu mmepiga sana kimya,lakini nimefanikiwa kupata namba yake nyingine asante kwa walio view

Vipi shida yako imeisha? nichek kwa hii namba +1 857 244 3480. Niko nje kwa sasa, au unaweza ni-pm
 
Back
Top Bottom