Msaada Nyumba Kupanga-Kimara

MissM4C

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,740
1,004
Kimara Mwisho, Vyumba viwili kuwe na self contained. Hapo kimara mwisho msaada.
 
Kimara Mwisho, Vyumba viwili kuwe na self contained. Hapo kimara mwisho msaada.

Ukifika hapo kimara mwisho ulizia nyumba za mzee matungucha au ntafute nkupeleke weekend Hii. Nasikia apartment zake ni nzuri kama zitakua hazijajaa kwasasa. Ukikosa njoo mbezi mwisho nkupangishe kwangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom