Murano
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,056
- 1,128
Kwa maelezo haya basi bila ubishi hapo wanaishi majini. Majini huoenda kukaa kwenye nyumba zilizosahaulika/zilizotelekezwa sasa wanashangaa mmewavamia makazi yao poleni sana. Cx Mshana JrSio kweli mkuu hii nyumba imejengwa kwa pesa safii na halali sema sehem ilipo ni imejitenga sana,na toka ijengwe sisi hatujawahi ishi ilikaa zaidi ya miaka mitatu bila kuishi mtu