Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,511
- 6,888
Naomba mnipatie mimi hiyo nyumba
Hamna ugomvi wa ndugu wa mirathi ya Huyo babu yenu? Na hamna kaburi Hilo eneo msije kuwa mumejenga karibu ya kaburi au juu ya kaburi Kuna Marehemu wengine wakorofi hawatulii kwao walikozikwa hutoka kufanya vurugu hasa Kama walikuwa Vibaka Vibaka au wavuta bangi
Visiwani mafia mkuu tunataka tukafanye kisomo mzeeUnapoomba msaada halafu unaficha nyumba ilipo nadhani huutaki msaada. Sema ni pwani wapi. Pili; Kama unautaka msaada wa kweli njoo PM nitakusaidia.
Kuna nyumba ilijengwa toka 1979 hadi 2006 hapakulala mtu. Kila aliyelala humo alichapwa bakora za kutosha. Wa mwisho aliacha hadi vifaa vyake mle akavisamehe. Tangu nifanye maombi humo sasa ni miaka 4 wapo salama
Hahhaha mshana hataki kuvuka majii
Wewe umewahi kulala ukachapw???Visiwani mafia mkuu tunataka tukafanye kisomo mzee


Bado ni story mpaka Uchapwe wewe...!Hao ukute wametunga tu...Kalale wewe mkuu acha mastory ya uongoo hayo
Hatunaga hizi mambo mzeeMzee wenu alimdhurumu mtu hicho kiwanja.Fuatilieni historia jinsi alivyopapata hapo.
pwani ni kubwa hujasema ni mji gani ila sio kesi cha kufanya nendeni kwenye huo mji nyumba ilipo na huyo mzee wako atafute wazee wawili watatu ambao ana ukaribu nao akae nao awaeleze hiyo shida atapata ufumbuzi bila shaka
Janja janja ya wapangaji,hapo walitaka kodi ipunguzwe ili wapate kitonga so wameingia na gia ya uchawi.shtuka.
Ichomeni moto hiyo nyumba ili hayo mauzauza yaungulie humo kisha mjenge nyingine.





daa sio bangi hizi!zamani nilikuwa najua ni story za kutungwa tu au chai lakini hii nimeshuhudia mwenyewe,ni hivi mzee aliamua kujenga kibanda ( nyumba) katika wilaya moja ya pwani nyumba ilijengwa kwa madhumuni kama tukitaka kwenda tuwe na mahali pakufikia bahati mbaya ile nyumba toka ijengwe hatujawahi kwenda tukaona isiwe kesi yasije kuwa mahame tukatafuta watu wakae ili pachangamke kidogo kilichowakuta wamefungasha virago wenyewe ndani ya week ni kwamba usiku wakilala wanapigwa makofi na kucharazwa bakora, juzi wamepashindwa wamerudisha funguo sio kwa bakora na makofi wanayopata,msaada jamani njia gani ya kuweza kufukaza hao viumbe ......
Hao hao babu zenu hawataki mpangishe wanataka mkae nyie wenyeweHapana mkuu hichi kiwanja kipo kwenye eneo ambalo mzee aliachiwa na babu yetu ni eneo kubwa lenye minazi ,issue ni.kwamba palikaa mda mrefu bila mtu kuishi kwenye ile nyumba


, kama Mzee wako yupo muulize vizuri kuhusu hao babu zakeNendeni wenyewe mlale humo hata wiki ili upate ushahidi wakutoshaHii sio story mkuu ni ukweli utupu