Msaada nyumba ina mauzauza

Msaada nyumba ina mauzauza

mtoto wa kibopa

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
5,336
Reaction score
6,426
zamani nilikuwa najua ni story za kutungwa tu au chai lakini hii nimeshuhudia mwenyewe,ni hivi mzee aliamua kujenga kibanda ( nyumba) katika wilaya moja ya pwani nyumba ilijengwa kwa madhumuni kama tukitaka kwenda tuwe na mahali pakufikia bahati mbaya ile nyumba toka ijengwe hatujawahi kwenda tukaona isiwe kesi yasije kuwa mahame tukatafuta watu wakae ili pachangamke kidogo kilichowakuta wamefungasha virago wenyewe ndani ya week ni kwamba usiku wakilala wanapigwa makofi na kucharazwa bakora, juzi wamepashindwa wamerudisha funguo sio kwa bakora na makofi wanayopata,msaada jamani njia gani ya kuweza kufukaza hao viumbe ......
 
Ungeenda kulala ili uthibitishe maneno yao, na je hicho kiwanja hakikuwa na migogoro? Au hakukuwa na udhurumati wowote uluofanyika katika kununua kiwanja au kujenga?
Au Itakuwa imejengwa kwa hela za wizi au dhuluma Kuna watu ukiwaibia au kuwadhulumu au kuwatapeli hukaa kimya wanakufanyizia majibu Yake ndio Kama hayo Ikabidhi bure kwa walokole achana nayo
 
Hapana mkuu hichi kiwanja kipo kwenye eneo ambalo mzee aliachiwa na babu yetu ni eneo kubwa lenye minazi ,issue ni.kwamba palikaa mda mrefu bila mtu kuishi kwenye ile nyumba
Ungeenda kulala ili uthibitishe maneno yao, na je hicho kiwanja hakikuwa na migogoro? Au hakukuwa na udhurumati wowote uluofanyika katika kununua kiwanja au kujenga?
 
Au Itakuwa imejengwa kwa hela za wizi au dhuluma Kuna watu ukiwaibia au kuwadhulumu au kuwatapeli hukaa kimya wanakufanyizia
Sio kweli mkuu hii nyumba imejengwa kwa pesa safii na halali sema sehem ilipo ni imejitenga sana,na toka ijengwe sisi hatujawahi ishi ilikaa zaidi ya miaka mitatu bila kuishi mtu
 
zamani nilikuwa najua ni story za kutungwa tu au chai lakini hii nimeshuhudia mwenyewe,ni hivi mzee aliamua kujenga kibanda ( nyumba) katika wilaya moja ya pwani nyumba ilijengwa kwa madhumuni kama tukitaka kwenda tuwe na mahali pakufikia bahati mbaya ile nyumba toka ijengwe hatujawahi kwenda tukaona isiwe kesi yasije kuwa mahame tukatafuta watu wakae ili pachangamke kidogo kilichowakuta wamefungasha virago wenyewe ndani ya week ni kwamba usiku wakilala wanapigwa makofi na kucharazwa bakora, juzi wamepashindwa wamerudisha funguo sio kwa bakora na makofi wanayopata,msaada jamani njia gani ya kuweza kufukaza hao viumbe ......
Michezo midogo hiyo!
 
Hapana mkuu hichi kiwanja kipo kwenye eneo ambalo mzee aliachiwa na babu yetu ni eneo kubwa lenye minazi ,issue ni.kwamba palikaa mda mrefu bila mtu kuishi kwenye ile nyumba
Hamna ugomvi wa ndugu wa mirathi ya Huyo babu yenu? Na hamna kaburi Hilo eneo msije kuwa mumejenga karibu ya kaburi au juu ya kaburi Kuna Marehemu wengine wakorofi hawatulii kwao walikozikwa hutoka kufanya vurugu hasa Kama walikuwa Vibaka Vibaka au wavuta bangi
 
zamani nilikuwa najua ni story za kutungwa tu au chai lakini hii nimeshuhudia mwenyewe,ni hivi mzee aliamua kujenga kibanda ( nyumba) katika wilaya moja ya pwani nyumba ilijengwa kwa madhumuni kama tukitaka kwenda tuwe na mahali pakufikia bahati mbaya ile nyumba toka ijengwe hatujawahi kwenda tukaona isiwe kesi yasije kuwa mahame tukatafuta watu wakae ili pachangamke kidogo kilichowakuta wamefungasha virago wenyewe ndani ya week ni kwamba usiku wakilala wanapigwa makofi na kucharazwa bakora, juzi wamepashindwa wamerudisha funguo sio kwa bakora na makofi wanayopata,msaada jamani njia gani ya kuweza kufukaza hao viumbe ......

Mzee wenu alimdhurumu mtu hicho kiwanja.Fuatilieni historia jinsi alivyopapata hapo.
 
zamani nilikuwa najua ni story za kutungwa tu au chai lakini hii nimeshuhudia mwenyewe,ni hivi mzee aliamua kujenga kibanda ( nyumba) katika wilaya moja ya pwani nyumba ilijengwa kwa madhumuni kama tukitaka kwenda tuwe na mahali pakufikia bahati mbaya ile nyumba toka ijengwe hatujawahi kwenda tukaona isiwe kesi yasije kuwa mahame tukatafuta watu wakae ili pachangamke kidogo kilichowakuta wamefungasha virago wenyewe ndani ya week ni kwamba usiku wakilala wanapigwa makofi na kucharazwa bakora, juzi wamepashindwa wamerudisha funguo sio kwa bakora na makofi wanayopata,msaada jamani njia gani ya kuweza kufukaza hao viumbe ......

Dawa ni kunya juu ya kitanda na meza ya chakula
 
Tatizo ni kuwa mnanunua maeneo na amualiki watu wa kiroho kuja yaombea na kumwaga maji ya baraka
 
Back
Top Bottom