Udogoni tulikuwa tunatumia moto, sasa hawa wa kwenye paa kuwatimua na moto ni hatariWasha moto, moshi wake watakimbia.
Tena ukipata bangi ukanyanganya inakuwa rahisi sana.
Ina maana udogoni hukuwa unarina asali au kula asali za mitini porini????????????????????????????
watoto wa mjini hawa ndio wamepelekwa maporiniWasha moto, moshi wake watakimbia.
Tena ukipata bangi ukanyanganya inakuwa rahisi sana.
Ina maana udogoni hukuwa unarina asali au kula asali za mitini porini????????????????????????????
picha ya nyukiWeka picha tuone
Kwani kuua nyuki hadi umkamate?Ntamkamataje huyo mmoja
hapo home kwako tuone hao nyuki walivyovamiapicha ya nyuki
Chukua lile bua lamlingoti wa mkatani lililokauka ulichome ulemoshi yake usogezee chini ya hao nyuki waliko alafu ulee mrejesho baada ya kazi hiyoWakati nafika nyumbani leo nimekuta NYUKI wamejikusanya kwenye paa la nyumba,
Ni sehemu ya hatari maana kila mtu anapita.
Naomba msaada nitumie njia gani kuwatoa maana nimeona kuwatoa kwa moto haiwezekani.
Au kama kuna dawa ya kuwafukuza naomba msaada. Shukrani
Private geologist
ha ha ha ahapicha ya nyuki