Hahaha,aisee hii nimecheka mpaka basi,duhhhhhHakuna kitu kingne kinachozuru kuku zaid ya nyani hapa nilipo hao mbwa wanapigwa makofi mpaka basi! Labda ufuge elf 20
Hahaa.. Huu ni ugomvi dhahir shahirMama unamaanisha Nyani Ngabu?
Nyani ngabu.
tengeneza banda imara ufugie hukoMsichukulie easy jamani nyani hao ni kama elf 10 wakivamia hata niwafukize mm hawaelewi hasa mwanamke ni shamba ninakofugia nyani wana uzito na akili kama watu mpk ugali wanaipua alafu ukiwaua unashtakiwa Mummy!mpka natamani niuze shamba ninunue kwingne lkn maskini hapatakuwa karibu na kazin!
Pole, sasa dawa iko namna hii, kama utaweza kumtega ukamkamata akiwa hai utafanikiwa, ukimpata tu unavalisha kengere zile za kuchezea ngoma ya kienyeji, halafu unamuachia aende zake, sasa ile kengere itakuwa inalia akiwa anakimbia na kurukia miti, sasa nyani wenzake watamkimbia yeye mwenyewe kengere, hapo itasababisha wakimbie umbali mrefu Sana, kwani wao hutembea kundi kubwa. Kwa kifupi watakuwa wamehama eneo hilo. Tuliwahi kufanya hivyo tabora kwenye shamba la mahindi wakahama jumla.Jamani mm ninakofugia kuna nyani kuku wangu wanaliwa sana nifanyeje????
wapi huko mkuu?Msichukulie easy jamani nyani hao ni kama elf 10 wakivamia hata niwafukize mm hawaelewi hasa mwanamke ni shamba ninakofugia nyani wana uzito na akili kama watu mpk ugali wanaipua alafu ukiwaua unashtakiwa Mummy!mpka natamani niuze shamba ninunue kwingne lkn maskini hapatakuwa karibu na kazin!
hii kaliKupambana na nyani sio kazi rahisi kwa sababu wana akili kama binadamu kwa hiyo majibu rahisi hayawezi kufanya kazi. Nakumbuka miaka ya nyuma kule Uganda kaskazini kuna mkulima mmoja ambaye alilima nahindi na nyani wakuwa wanakula kila siku. Siku moja aliweka ulinzi akiwa na upinde na mishale. Nyani wakaja kama kawaida yao wakaingia shambani kula mahindi yeye akiwa amejificha sehemu tayari kwa mashambulizi. Basi akavuta upinde na kurusha mshale uliompata barabara nyani mmoja na kumuua.
Wenzake walikimbia kisha baadaye wakarudi kubeba nwili wa "marehemu" na kwenda nao wanakojua wao "kwa ajii ya mazishi". Walikuwa wakiomboleza kama watu.
Basi hao nyani wenye hasira walimjua huyo mkulima na nyumbani kwake walipajua! Chezea nyani weweeee! Wakaitisha kikao cha dharura kutafakari hatua gani wachukue dhidi ya huyo mkulima. Cha ajabu pamoja na hasira walizokuwa nazo walisubiri muda muafaka wa kulipiza kisasi. Bila kukosea walikuja nyani kama 30 hivi usiku wa manane nyumbani kwa huyo mkulima wajavunja mlango na kuingia ndani. Walimtoa kitandani mzega mzega hadi nje wakamchana tumbo na kutoa utumbo nje! Walipohakikisha amekufa wakaondoka zao. Sasa ona kwamba walijua kuwa usiku mnene hangepata msaada wa majirani kwa hiyo wakachagua muda huo kufanya mashambulizi!
Mimi ninachoshauri ni kubadilisha mazao na kupanda vitu ambavyo nyani hawana shida navyo.
hao hawawezi kuwa nyan wa kawaida wakutumwa haoKupambana na nyani sio kazi rahisi kwa sababu wana akili kama binadamu kwa hiyo majibu rahisi hayawezi kufanya kazi. Nakumbuka miaka ya nyuma kule Uganda kaskazini kuna mkulima mmoja ambaye alilima nahindi na nyani wakuwa wanakula kila siku. Siku moja aliweka ulinzi akiwa na upinde na mishale. Nyani wakaja kama kawaida yao wakaingia shambani kula mahindi yeye akiwa amejificha sehemu tayari kwa mashambulizi. Basi akavuta upinde na kurusha mshale uliompata barabara nyani mmoja na kumuua.
Wenzake walikimbia kisha baadaye wakarudi kubeba nwili wa "marehemu" na kwenda nao wanakojua wao "kwa ajii ya mazishi". Walikuwa wakiomboleza kama watu.
Basi hao nyani wenye hasira walimjua huyo mkulima na nyumbani kwake walipajua! Chezea nyani weweeee! Wakaitisha kikao cha dharura kutafakari hatua gani wachukue dhidi ya huyo mkulima. Cha ajabu pamoja na hasira walizokuwa nazo walisubiri muda muafaka wa kulipiza kisasi. Bila kukosea walikuja nyani kama 30 hivi usiku wa manane nyumbani kwa huyo mkulima wajavunja mlango na kuingia ndani. Walimtoa kitandani mzega mzega hadi nje wakamchana tumbo na kutoa utumbo nje! Walipohakikisha amekufa wakaondoka zao. Sasa ona kwamba walijua kuwa usiku mnene hangepata msaada wa majirani kwa hiyo wakachagua muda huo kufanya mashambulizi!
Mimi ninachoshauri ni kubadilisha mazao na kupanda vitu ambavyo nyani hawana shida navyo.
Watamdhibiti kwa umoja wao na kumkamua nyani vilivyo....iwapo tuu kuku hao ni vicheche.