Msaada notes za development studies

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
17,287
10,702
Naomba msaada kwa yeyote mwenye notes za
1.MARXIST THEORY OF SOCIAL DEVELOPMENT
2.BOURGEOIS/ORTHODOX/MODERNIZATION THEORY OF DEVELOPMENT
3.MARXIST WORLD SYSTEM THEORY OF DEVELOPMENT NA
4AFRICAN NATIONALIST THEORIES OF DEVELOPMENT
 
ninazo una kiasi gani?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Naomba msaada kwa yeyote mwenye notes za
1.MARXIST THEORY OF SOCIAL DEVELOPMENT
2.BOURGEOIS/ORTHODOX/MODERNIZATION THEORY OF DEVELOPMENT
3.MARXIST WORLD SYSTEM THEORY OF DEVELOPMENT NA
4AFRICAN NATIONALIST THEORIES OF DEVELOPMENT

Duu inamaana huko chuoni kwenu umekosa? Hii elimu ya sasa kiboko!
 
nenda library katafute vitabu ukatengeneze notes zako,ukijiendekeza kwenye madesa utatoka chuoni empty!

ila hii reply yako nimeipenda but sometimes inabidi tusome madesa coz vitabu vingine complicated mpaka upate points it takes time
anyway naufanyia kazi ushauri wenuhasa huu wako
 
Uko chuo gan mkuu?maana kama uko udsm hzo desa za DS101 zimetapakaa kila kona.
 
We ucipokua makini kama upo Udsm utalamba nyanga kwnye hiyo course! Komaa arifu kwa kupitia vitabu vingi na cio kudai havina points!
 
Acha uvivu wa kurely madesa ingia library utapata vitabu vizuri(tatizo lenu watoto wakibongo hampendi kusoma vitabu mwisho unadegree but kichwani hamna kitu acha kuwaza bash utaishia kusema nshawahi kusoma chuo)
 
ila hii reply yako nimeipenda but sometimes inabidi tusome madesa coz vitabu vingine complicated mpaka upate points it takes time
anyway naufanyia kazi ushauri wenuhasa huu wako

Ni lazima usome. Acha kukubali kushindwa kirahisi katika kutafuta ujuzi na maarifa. Soma sana vitabu na utaona matunda yake ukiwa chuoni na ukiwa umemaliza chuo. Pindi umalizapo chuo shule ndiyo inaanza rasmi.
 
Chuon kwako hawana au jamii forum niyakuandika kila kitu unachojisikia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom