Lee Cho in
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 941
- 693
Kaka hiyo process unayo itoa wewe ni ndefu na itawapa tabu wasio na PC
hizi apa Whatsapp una download tu moja kwa moja kwenye simu yako hakuna haja ya kuanza ku unzip sijui!
.
Whatsapp for Nokia Asha 501, 305, 200, 306, 308, 205, 202 > direct download = jar file
.
Whatsapp for Nokia Asha 501, 305, 200, 306, 308, 205, 202 > Direct Download = jad file
.
Install then update you're Done!
Ebu pitia huu Uzi hapa ndo jamii moja na trtz lako hiloooo Bonyeza Hapa na hapa chini soma maelezo ya Mkuu snipa
Ebu pitia huu Uzi hapa ndo jamii moja na trtz lako hiloooo Bonyeza Hapa na hapa chini soma maelezo ya Mkuu snipa
Habar za majukumu wakuu
plz naomba msaada wenu sim yangu ni nokia asha 200 so naomba mwenye maujuz ya kuinstall whats app kwenye nokia asha anisaidie plz
shukran
snipa
WhatsApp for Nokia Asha 200-501_jar
Hii inakubal kudownload lakn mwisho inasema application is not campatible with this device.
WhatsApp for Nokia Asha 200-501_jar
Whatsapp for Nokia Asha 200-501. jad
Cheki na hizo link, kama inagoma toa exactly massage inayoleta.
WhatsApp for Nokia Asha 200-501_jar
Whatsapp for Nokia Asha 200-501. jad
Cheki na hizo link, kama inagoma toa exactly massage inayoleta.
vp na Nokia N80 symbian s60v3 wakuu maana na yenyewe inazingua nataka nijaribu kui hack kisha nijaribu kuinstal whatsapp
WhatsApp inatumia valid certificate, kwahiyo kuihack simu yako hakitosaidia.