Msaada nokia 5230

Gelevaheke

Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
77
Reaction score
5
Jamani wana jf naombeni msaada simu yangu nokia 5230 imekata mwanga gafla mwanga upo wa chini nimejari kuongeza mwanga haupandi kabisa je tatizo nini? Kuangalia hadi uwe chumbani kwenye giza
 
ukichomeka kwenye charger inakuaje? na ukiongeza mwanga pia hairespond? kuna uwezekano labda imekufa kitu(tatizo la hardware)
 
Nikichomeka kwenye chaja ipeleka chaji kama kaiwada na niongeza mwanga haionze mwanga uko chini sana sijajua hili tatizo nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…