MSAADA:-No such interface supported

MSAADA:-No such interface supported

jjeremiah

Member
Joined
Jul 30, 2010
Posts
43
Reaction score
13
Nina shida katika computer yangu, natumia windows 7 na katika kugusa gusa nilijaribu wakati fulani ku edit user acc na toka wakati huo kila nikijaribu kufungua folders:- my computer, documents, control panel na zingine nyingi napata kijisanduku kidogo kilicho andikwa Explorer.EXE na ndani kuna ujumbe NO SUCH INTERFACE SUPPORTED na hivyo hunizuwia kuendelea na shughuli zangu, naomba msaada kwa yeyote jinsi ya kuondoa tatizo hili.
 
mkuu mbona kama kirusi huyo,una antivirus ambayo iko active
 
Back
Top Bottom