Msaada: Njia za kuongeza au kunenepesha mwili

Zingatia msosi huu:
Asubuhi.
Chapati 3,supu ya utumbo,soda baridi moja ukishamaliza shushia na lita 1 ya maji bariiiiidiiiiii.

Mchana.
Chips Kuku,mayai mawili pembeni,soda baridiii,ukimaliza shushia maji baridi lita 1

Usiku.
Nyama nusu,ndizi 4 mshale,biereee 4 then ulale,fanya hvyo kwa mwezi utanenepa ukifikia unene unaoutaka unaacha.
Ni bajeti yake ni mshahara wa mwezi mzima
 
Kama unautaka unene tafuta faraja ya moyo basi kama ni pesa basinuwe nayo,kama furaha yako kutembea basi tembea moyo ukiridhika na akili utanenepa ila kama una stress hata ule nini hutonenepa
 
Weight gain is not good mkuu maana utatengeneza mazngira mazur ya kisukari, magonjwa ya moyo
 
mi natamani kua slim,,nipungue kidogo lakini mazoezi yananitoa nishai.
na chakula nacho wali napata shida kuuacha
 
Fuata huo ushauri wangu utanenepa na pendelea kula vyakuala vyenye mafuta mengi na usiwe na mawazo na wakati wa usilku mwingi kula kisha ulale hapo hapo utanenepa ninakutakia Good Luck.

Blood Pressure ndio nyumbani pake unauliza jibu wakati mtu anataka maradhi mpatie tu maradhi Kwani Hospitali zimewekewa na nani? Pasipo na Wagonjwa Madaktari watakula wapi? Pasipo na wezi,Majambazi,wala Rushwa,Mafisadi Vituo vya Polisi vitakuwa vipo wazi na Mahakimu watakuwa hawafanyi kazi yoyote ile.Tumbo lako lisipo kuuma hutaweza kula? Mwache apamie vyakula anene na sisi tunaye tangazia Dawa ztu za kukondesha tupate wateja.:smile-big::smile-big::smile-big:
Yamenikuta! Sasa hivi nimekuaje kibonge sasa nahangaika kukonda ila wapi .
 
mi natamani kua slim,,nipungue kidogo lakini mazoezi yananitoa nishai.
na chakula nacho wali napata shida kuuacha
Aisee kunenepa nirahisi kuliko kupungua, yaani ni mtihani kweli kweli.
 
Blood Pressure ndio nyumbani pake unauliza jibu wakati mtu anataka maradhi mpatie tu maradhi Kwani Hospitali zimewekewa na nani? Pasipo na Wagonjwa Madaktari watakula wapi? Pasipo na wezi,Majambazi,wala Rushwa,Mafisadi Vituo vya Polisi vitakuwa vipo wazi na Mahakimu watakuwa hawafanyi kazi yoyote ile.Tumbo lako lisipo kuuma hutaweza kula? Mwache apamie vyakula anene na sisi tunaye tangazia Dawa ztu za kukondesha tupate wateja.:smile-big::smile-big::smile-big:

NImekudharau.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom