mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,309
- 942
AsanteNgoja madoctor wa JF waje
Asante jivu kiasi gani nalamba,ila makande situmiagikila baada ya msosi jitahidi kulamba jivu..halafu usipende shinda njaa na punguza makande maana huko ndo maeneo yake
Jivu sio zuri kihivyoo. Atafune caroot au Atafune mchele. Mkavu. Inasaidia sana. Hata Chakula akipikia na caroot ya kutosha Hawezi pata hiyo shidakila baada ya msosi jitahidi kulamba jivu..halafu usipende shinda njaa na punguza makande maana huko ndo maeneo yake
Mzizimkavu anasemaje!@mzizimkavuPole sanaaa mkuu
Zipo dawa za matatizo hayo, ili kuzipata unaweza wasiliana nami
+255 655 821 550
what's app /call
Nani wewe kakwambia kuwa karoti na mchele mkavu unaondosha asidi tumboni? Karoti na mchele mkavu unazidisha asidi tumboni.Unatoa ushauri mbovu kwanini mkuu?Jivu sio zuri kihivyoo. Atafune caroot au Atafune mchele. Mkavu. Inasaidia sana. Hata Chakula akipikia na caroot ya kutosha Hawezi pata hiyo shida
mkuu atatoa wap jivu wakati kila mtu jamii forum anatumia gesi na jiko la umeme kupikia😊😊kila baada ya msosi jitahidi kulamba jivu..halafu usipende shinda njaa na punguza makande maana huko ndo maeneo yake
Lakini njia nzuri ya Ku neutralize acid ni kutumia base pengine jivu ni aina moja wapo ya base ila sijui kama vipo vidonge vya base au vyakula ulivyotaja kama vina asili ya base (vitakuwa sahihi kwake)....Jivu sio zuri kihivyoo. Atafune caroot au Atafune mchele. Mkavu. Inasaidia sana. Hata Chakula akipikia na caroot ya kutosha Hawezi pata hiyo shida
Inasaidia lkn si sana mkuu. Nimewahi tumia hii kitu.Hii dawa inasaidia sana! View attachment 1094864
Omeprazole si ya vidonda vya tumbo??Nunua dawa inaitwa prantoplazo au omeprazole
We ipi sasa ilikusaidia mkuuInasaidia lkn si sana mkuu. Nimewahi tumia hii kitu.
Usipoteze muda na jivu. Kunywa au tafuna tangawizi kila asubihi au kila dakika 10 kabla ya mlo wowote.Asante jivu kiasi gani nalamba,ila makande situmiagi