panda coastline au easy coach zinazoondoka hata usiku kwenda Nairobi znazofk SAA 9 usiku then ASB nenda stendi kuu ya country bus/machakos kuna Noah za Nairobi arusha via namanga mkuu then panda gari za arusha moshi hope itakuwa umefka.
Ua winga na basi la guardian ukikosa coast line ya saa mbili au tatu usiku unafika Nairobi saa 9alfajiri japo napaogopa ila inabidi uende machakos county bus upande Hiace au noah za namanga ila njia rahisi zaidi ni kupanda Dar Express au Saibaba toka Nairobi hadi Moshi.
Endapo utaamua kutumia mabasi hayo mawili unatakiwa uwepo kstendi saa 11:30 ila pia booking ni muhimu msimu huu wa sikukuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.