Msaada: nitumie antivirus ipi?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,267
Reaction score
25,557
Nltumiwa na mwanangu computer bahati mbaya hakuniambia kuwa inatakiwa kuweka (mla/mzuia wadudu) antivirus, baaaye kukawa na tatizo ambalo limeifanya kukosa uwezo wa kufanya kazi.

Baadaye niliambiwa imepata hao jamaa na inabidi uweke hiyo antivirus, ila nimeambiwa lazima niondoe window iliyopo.

Wadau hebu mnipe ushauri au nifanyeje nisiweze kukosa files zangu na mambo muhimu yaliyomo humo.

Asante nawasilisha.
 
unatumia windows gani?

sikushauri kuondoa windows unless uwe huna option maana hapo unapoteza laki na nusu yako.

unaweza kuinstall program?
 


Mkuu pole sana, kwa jinsi nitizamavyo mimi ata kama tatizo linaweza kuwa rahisi pia vilevile unahitaji msaada wa Fundi Face2face personaly.
Kwasabu kama Antivirus tu i guess huelewi vizuri inafanya kazi gani, maelezo utakayo yapata hapa yanaweza yakusaidie au yasikusaidie.
Mwone Fundi mkuu wangu windows installation can't cost much in such with your contents being safely remain on your system.
Japokua hujasema inaonyesha massage gani.
Files huwezi kuzikosa unless otherwise fundi asiwe fundi.
 
TODAYS pia ungesema upo wapi, ili iwe rahisi kuambiwa nenda mfano kariakoo mtafute ndugu GHANI ili pc iwe sawa pamoja na faili zako zote.
 
Last edited by a moderator:
C. snipa.
Asante, ah kuhusu antivirus niliandika vile kuweza kutaka kupewa wazo, as if yenyewe inakuwa na kazi ya ulinzi wa machine dhidi ya hao viruses.
Kwa upande wa message hakuna inayo_appear ila kuna wakati inalazimisha kufunga works area, kingine external driver yoyoye ukiweka na kuitoa inakupa taarifa kuwa na wadudu pale utakapoweka kwa machine ingine.

>>Napatikana Bunju mwisho mpakani na mkoa wa Pwani.
 
ingia online uliza how to remove virus using command....then fuata maelekezo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…