msaada, Nitawezaje kuzuia auto download ambazo sizihitaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada, Nitawezaje kuzuia auto download ambazo sizihitaji?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Nyikanavome, Jun 1, 2009.

 1. Nyikanavome

  Nyikanavome JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Wapendwa wanachama na wapenzi wa jukwaa hili adhimu, Salaam!

  Hivi majuzi nimenunua moderm kwa ajili ya kupata internet kwenye kampuni ya simu ya zantel. Moderm yenyewe ina uwezo wa 3.1mb per second. nilipo connect kwenye mtandao baada ya muda mfupi tu ikawa imesha update programs mbalimbali kwenye computer yangu kwa kiwango cha kama 60 mb ambayo ililamba karibu salio lote nililoweka.

  Msaada ninaotaka kwenu ni namna ya kuzuia hizo update kutokea bila taarifa yangu. Nataka hizo update niwe nazifanyia ofisini kutumia mtandao wa ofisi na nikiwa nyumbani nitumie mtandao kwa kufanya shughuli nyingine sio ku update program za computer yangu. Hiyo itasaidia sana kupunguza matumizi yangu kwani tunachajiwa kwa jinsi tunavyodowload. Ninatumia laptop aina ya dell ni inatuma window vista. Natanguliza shukrani kwa msaada.
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  inabidi uingie kwenye settings ya hizo program zinazofanya update kisha utoe option ya Auto Update.
   
 3. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  FOR THOSE USING XP home edition

  XP Home users will need to make the changes by editing the registry directly. To begin, click Start and then click Run

  Type regedit and click OK. The Registry Editor window will open.

  In the left pane, navigate to:
  HKEY_CURRENT_USER
  Software
  Microsoft
  Windows
  CurrentVersion
  Policies
  Explorer.

  With Explorer highlighted, in the right-pane right click the value NoDriveTypeAutoRun and select Modify from the drop down menu. The base value will be set to Hexadecimal. If not, select Hexadecimal.

  Type 95 and click OK.
  Note that this will stop Autorun on removable/USB drives, but still allow it on CD ROM drives. If you want to disable autorun on both, substitute b5 for the 95. (Thanks to Ian L. of Manitoba for the tip).

  Exit Registry Editor by selecting File, then choosing Exit from the menu.
  You will now need to reboot your computer for the changes to take effect.

  Hope this Helps...hii ilisha wekwa hapa JF kitambo...so nimecopy na kupaste...kwa kuwa si mtaalamu sana wa kutafuta link za zamani...hii nilikuwa nayo kwenye backup zangu.
   
 4. Nyikanavome

  Nyikanavome JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Ahsanteni kwa msaada, nimejaribu kuingia kwenye setting za hizo programs nikabadilisha, lakini nyingine sikuona hiyo option ya kubadilisha. Zile ambazo setting zake zinapatikana kwenye tools nimeweza kurekebisha lakini nyingine mpaka uende kwenye help na hapo hamna setting ya kubadilisha.
  Natumia window Vista hivyo sikuweza kuutumia vizuri masaada wa Buswelu
   
 5. johnj

  johnj Member

  #5
  Jun 2, 2009
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Nafikiri unahitaji utumie firewall software ili kila program yoyote nyingine zaidi ya web browser yako inapotuma request kwenye internet firewall itakataa kutuma hiyo request hadi wewe ukubali. a good example of firewall is ZoneAlarm.
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  tutajie ni program gani unashindwa kupata settings.
   
 7. BrainPower

  BrainPower Senior Member

  #7
  Jun 3, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nyikanavome,

  Kuna category mbili za software ambazo zina auto update na humaliza download quota za watu.

  a) windows update
  b) Various Programs i.e. Browser (firefox..etc) Security (norton 360, mcafe) Music (Itunes .etc) others adobe reader and the list goes on...

  a) To disable Windows updates in Vista
  Unaweza uka disable automatic windows update kwenye windows vista kwa kufanya hivi

  Start----- Settings ---- Control panel ----

  i) kama uko kwenye view ya 'control panel home' then click ----- security --- windows update --- (utakuta radio button ipo kwenye 'install updates automatically'') wewe select ('check for updates but let me choose whether to download and install them')

  ii) kama uko kwenye classic view then click--- security center -- Automatic updating --- change settings ----(utakuta radio button ipo kwenye 'install updates automatically'') wewe select ('check for updates but let me choose whether to download and install them')


  b) How to disable other programs from updating
  -sasa inategemea na program gani unazo .

  Kama Kang alivyosema - tutajie ni program gani na tutakusaidia

  Hope this helps
   
  Last edited: Jun 3, 2009
 8. M

  Manitoba JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 240
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umemaliza kaka!

  Ningeongezea tu kwamba kuna wakati nilikuwa nna disable Windows Update, lakini bado Window$ ilikuwa ina-download files. Tatizo lilikuwa ni Background Intelligent Transfer Service (BITS). Kwa hiyo kuhakikisha kabisa windows haitumii bandwidth yako bila wewe kutaka, disable BITS. kwenye Control Panel-> Services.

  Ila ujue tu BITS yaweza kutumika na programs nyingine tofauti na Windows yenyewe. Kwa hiyo hata hizo nazo zitaathirika. kwa mfano, usije ukakuta update ya Messanger inashindikana ukashangaa.
   
 9. M

  Manitoba JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 240
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pia tumia hiki kifaa kutambua ni program gani inatumia internet connection yako:

  TCPView for Windows
   
 10. BrainPower

  BrainPower Senior Member

  #10
  Jun 4, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  a) Kwa manufaa ya jamii inayoangalia thread nimeongezea 'in red'
  b) Pia waweza kufika huko kwa kwenda Start-- run -- (then type) services.msc --- click OK

  Shukrani Manitoba, leo nimejifunza kitu kingine, kwasababu ya mchango wako.
   
 11. Nyikanavome

  Nyikanavome JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Ahsanteni kwa jitihada za kunisaidia, Nimefarijika sana; Nimetumia hiyo mbinu ya kustop Bacground Intelliget Transfer service inaonekana inafanya kazi vizuri; ila mtandao umekuwa slow, sijui hiyo ni kutoka kwa provider wangu au ni kutokana na kustop hiyo application?
   
 12. M

  Manitoba JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 240
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa hakika sio tatizo la ku-stop BITS. BITS ndiyo inaweza kufanya uone speed ya internet connection yako ni slow unapo peruzi mtandao.

  Labda ucheki maelezo ya BITS inachofanya:
  [ame=http://en.wikipedia.org/wiki/Background_Intelligent_Transfer_Service]Background Intelligent Transfer Service - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame]
   
Loading...