Msaada, nitawezaje kuingiza file la audio kwenye JF? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada, nitawezaje kuingiza file la audio kwenye JF?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ngurati, Aug 3, 2011.

 1. n

  ngurati JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wadau, TAFADHALI NISAIDIENI.
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  • Uppload hiyo auido file kwenye file sharing site kama Free File Hosting Made Simple - MediaFire thena hapa jf leta link. wadau watalipata
  • Zip au hilo file kisha fanya attachment kwenye jf
  • Unaweza kucheat pia kubadlisha extension ya hilo file iwe .doc au .pdf alafu unaatach .Unaweza akangalizo wadau wakilipakua walibadilsihe tena hilo file kwenye extensio yake halisi eg . mp3
   
 3. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Dah!1 more confusions!
   
Loading...