Msaada: Nitapambana vipi na Mchawi?

Msaada: Nitapambana vipi na Mchawi?

scatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
1,671
Reaction score
940
Kuna ishu imenikumba juzi kati wakati nilipokuwa nafuatilia shamba la mzee wangu kwa ajili ya kulifanyia mchakato wa kulisafisha.
Kufika huko nimekutana na kitu tofauti na matarajio yangu.Yaani shamba limemegwa na mama mmoja na taarifa zikadai hajauziwa ila amekuja kuvamia.

Nilichokifanya nilimchukua anko wangu tukaanza kumtafuta huyo mama bahati nzuri tulikutana naye njiani siku moja.

Anko alipomuhoji kwanini amevamia eneo sio lake hakutujibu badala yake alimrushia anko jini akabaki anagalagala chini na yule mama akaondoka zake mpaka sasa anko kapooza na shamba limemegwa na nikiangalia msimu wa kilimo umekaribia.Je nifanyeje wadau ili niweze pata haki yangu.
N.B

Shamba lina hati zote ila uchawi tu ndio unanitisha.
 
Mwambie Yesu Kristo ambaye ni Mungu Mkuu.

Curse those demons in the Name of Jesus. Rebuke the diabolical powers in the name of Jesus.

HEBU FANYA HAYA MAOBI YA KUSARAMBATISHA UCHAWI

Baba katika Jina la Yesu.

Laana zote nilizo tupiwa na wabaya wangu zimeshindwa kwa jina la Yesu na nazivunja na kuzisambaratisha kwa Damu ya Yesu. Mshindwe wote mnao tuma laana kwangu katika Jina la La Yesu.

Nawavunja na kuwaharibu na kuwakatakata Wachawi wote kwa damu ya Yesu.

Nasambaratisha kila neno la uovu lililosemwa juu yangu na familayangu katika jina la Yesu.

Naharibu na kuisambaratisha madhabahu yenu mliyo fanyia kafara kwa damu ya Yesu.

Navunjavunja na kubomoa kila uovu na uchawi mnaonifanyia katika jina la Yesu.

Nairudisha misukule yote na majini yote yawarudie nyie na kuwalipa dhambi zote mnazo fanya katika jina la Yesu.

Naharibu kila uchawi, kila urogi, kila ndumba kila aina ya uovu ambao mnaufanya ili uniumize mimi na familia yangu katika jina la Yesu.

Nawateketeza kupitia damu ya Yesu Wachawi wote walio tumiwa kunitumia uchawi katika jina la Yesu.

Nawateketeza na kuwaharibu majini yote yaliyo tumwa kuja kufanya kazi hiyo waliyo tumwa na Wachawi katika jina la Yesu.

Nawateketeza na kuwauwa Makuhani wote ambao walienda kunishitaki kwa Wachawi ili waniharibie maisha, nawateketeza kupitia damu ya Yesu. Nawachoma kwa Moto wa Roho Mtakatifu katika Jina la Yesu.

Nateketeza aina zote za vyombo vya kichawi vilivyo tumiwa kuja kunichunguza katika jina la Yesu.

Naharibu fikra zao zote ambazo wanazitumia kufanya kazi zao za kichawi katika jina la Yesu.

Nafuta kumbukumbu zoote zangu ambazo wamewapa Mashetani, Majini, Roho chafu, nafuta hizo kumbukumbu kwa kutumia damu ya Yesu, katika jina la Yesu aliye hai.

Nawateketeza waweka kumbukumbu wa kimashetani kupitia damu ya Yesu aliye hai. Naharaibu na kuchoma kupitia moto wa Roho Mtakatifu makabrasha yote yenye kumbukumbu zangu katika jina la Yesu.

Kila uchawi ulio fanywa ili uje kuharibu maisha yangu na ubomoa kupitia damu ya Yesu.

Kila uchawi ulio fanywa ili uje kuniua nauvunja na kuuteketeza kupitia damu ya Yesu.

Kila uchawi ulio fanywa ili kuja kuiba mali zangu, nauvunja na kuubomoa na kuuharibu kupitia damu ya Yesu.

Kila uchawi ulio fanya kuja kuniharibia familia yangu, nausambaratisha na kuuvunja na kuubomoa katika jina la Yesu.

Kila neno la kichawi lililo tumwa ili kuja kuniharibia, kunidhihaki, kunitendea mabaya nalirudisha kwa aliye lituma katika jina la Yesu.

Kila uovu, uchawi, wanga, ndumba, ramli, yaliyo tumwa kuja kwangu navunja yote hayo kupitia damu ya Yesu na katika Jina la Yesu.

Nyota yangu ambayo wanaita nairudisha kupitia damu ya Yesu. Nyota yangu ya baraka nailinda na kuzungushia na kuizingira na damu ya Mwana Kondoo katika jina la Yesu.

Namteketeza yule mtu aliye kuja kuiba nyota yangu katika jina la Yesu.

Nateketeza mbinu zote wanazo tumia ili kuja kuiba nyota yangu katika jina la Yesu.

Nateketeza wivu wao, chuki yao, laana zao, maovu yao na kila aina ya uchafu ambao wanao kwa ajili yangu katika jina la Yesu.

Naizungushia na kuizingira nyumba yangu na damu ya Yesu.

Naishungushia na kuizingira familia yangu na damu ya Yesu.

Nashungushia na kuzingira maisha yangu yote na damu ya Yesu.

Navunja laana zote zilizo semwa na mabau zangu katika jina la Yesu.

Navunja laana zato ambazo zilisemwa bila ya mimi kufahamu, nazivunja na kuziharibu kupitia damu ya Yesu na katika jina la Yesu.

Narudisha kila mali walizo ziiba kutoka kwangu katika jina la Yesu.

Narudisha kila baraka walizo ziiba kwangu katika jina la Yesu.

Narudisha amani na upendo katika familia yangu.

Damu ya Yesu ipo juu ya Maisha yangu na inasafisha kila uovu, kila uchawi unaaribiwa na damu ya Yesu katika jina la Yesu.

Leo hii mtaiona Nguvu iliyopo katika damu ya Yesu.

Katika Jina la Yesu aliye hai ninaomba.

Amen
 
kuna ishu imenikumba juzi kati wakati nilipokua na fuatilia shamba la mzee wangu kwa ajili ya kulifanyia mchakato wa kulisafisha
Kufika huko nimekuatana na kitu tofauti na matarajio yangu....yaani shamba lime megwa na mama mmoja na taarifa zikadai hajauziwa ila amekuja kuvamia

Nilichokifanya nilimchukua anko wangu tukaanza kumtafuta huyo mama ...bahati nzuri tulikutana naye njiani....siku moja

Anko alipomuhoji..kwanini amevamia eneo sio lake ..hakutujibu..badala yake alimrushia anko jini akabaki anagalagala chini..na yule mama akaondoka zake mpaka sasa anko kapooza na shamba limemegwa
na nikiangalia msimu wa kilimo umekaribia ..je nifanyaje wadau..ili niweze pata haki yangu..
N.B

shamba lina hati zote ila uchawi tu ndio unanitisha...

Kama filamu ya kinigeria vile.....ila wewe mkuu scatter
kuna condition mbili za kushugulika na mtu mchawi.
1. Na wewe sharti kwanza uwe mchawi tena mchwi haswaa kwani maza anaonekana yuko nondo vibaya mno (kwani inaonekana unataka kulipiza kisasi baada ya anko kupigwa kerbu moja ya chembe kidevu , mara anko chari"
2.Kama ni mtu wa MUNGU kemea , utashinda
Kwahiyo kuna njia ya kidunia 1 na njia safe ni 2 , ila haitaki ulipize kisasi kama dhamira yako inavyo kutuma.
 
mmh kwani mkuu scatter ulijuaje kama anko katuppiwa jini?
Cha msingi kama huna imani fuatilia kisheria hilo eneo lako!
 
Last edited by a moderator:
MUNGU hashindwi Na hajawai kushindwa. Jambo la msingi kama inawezekana muachie hilo shamba then utaona soon nini kinakutokea. Either utapata zuri zaidi ya hilo. Na mengine mengi.
 
Mwambie Yesu Kristo ambaye ni Mungu Mkuu.

Curse those demons in the Name of Jesus. Rebuke the diabolical powers in the name of Jesus.

HEBU FANYA HAYA MAOBI YA KUSARAMBATISHA UCHAWI

Baba katika Jina la Yesu.

Laana zote nilizo tupiwa na wabaya wangu zimeshindwa kwa jina la Yesu na nazivunja na kuzisambaratisha kwa Damu ya Yesu. Mshindwe wote mnao tuma laana kwangu katika Jina la La Yesu.

Nawavunja na kuwaharibu na kuwakatakata Wachawi wote kwa damu ya Yesu.

Nasambaratisha kila neno la uovu lililosemwa juu yangu na familayangu katika jina la Yesu.

Naharibu na kuisambaratisha madhabahu yenu mliyo fanyia kafara kwa damu ya Yesu.

Navunjavunja na kubomoa kila uovu na uchawi mnaonifanyia katika jina la Yesu.

Nairudisha misukule yote na majini yote yawarudie nyie na kuwalipa dhambi zote mnazo fanya katika jina la Yesu.

Naharibu kila uchawi, kila urogi, kila ndumba kila aina ya uovu ambao mnaufanya ili uniumize mimi na familia yangu katika jina la Yesu.

Nawateketeza kupitia damu ya Yesu Wachawi wote walio tumiwa kunitumia uchawi katika jina la Yesu.

Nawateketeza na kuwaharibu majini yote yaliyo tumwa kuja kufanya kazi hiyo waliyo tumwa na Wachawi katika jina la Yesu.

Nawateketeza na kuwauwa Makuhani wote ambao walienda kunishitaki kwa Wachawi ili waniharibie maisha, nawateketeza kupitia damu ya Yesu. Nawachoma kwa Moto wa Roho Mtakatifu katika Jina la Yesu.

Nateketeza aina zote za vyombo vya kichawi vilivyo tumiwa kuja kunichunguza katika jina la Yesu.

Naharibu fikra zao zote ambazo wanazitumia kufanya kazi zao za kichawi katika jina la Yesu.

Nafuta kumbukumbu zoote zangu ambazo wamewapa Mashetani, Majini, Roho chafu, nafuta hizo kumbukumbu kwa kutumia damu ya Yesu, katika jina la Yesu aliye hai.

Nawateketeza waweka kumbukumbu wa kimashetani kupitia damu ya Yesu aliye hai. Naharaibu na kuchoma kupitia moto wa Roho Mtakatifu makabrasha yote yenye kumbukumbu zangu katika jina la Yesu.

Kila uchawi ulio fanywa ili uje kuharibu maisha yangu na ubomoa kupitia damu ya Yesu.

Kila uchawi ulio fanywa ili uje kuniua nauvunja na kuuteketeza kupitia damu ya Yesu.

Kila uchawi ulio fanywa ili kuja kuiba mali zangu, nauvunja na kuubomoa na kuuharibu kupitia damu ya Yesu.

Kila uchawi ulio fanya kuja kuniharibia familia yangu, nausambaratisha na kuuvunja na kuubomoa katika jina la Yesu.

Kila neno la kichawi lililo tumwa ili kuja kuniharibia, kunidhihaki, kunitendea mabaya nalirudisha kwa aliye lituma katika jina la Yesu.

Kila uovu, uchawi, wanga, ndumba, ramli, yaliyo tumwa kuja kwangu navunja yote hayo kupitia damu ya Yesu na katika Jina la Yesu.

Nyota yangu ambayo wanaita nairudisha kupitia damu ya Yesu. Nyota yangu ya baraka nailinda na kuzungushia na kuizingira na damu ya Mwana Kondoo katika jina la Yesu.

Namteketeza yule mtu aliye kuja kuiba nyota yangu katika jina la Yesu.

Nateketeza mbinu zote wanazo tumia ili kuja kuiba nyota yangu katika jina la Yesu.

Nateketeza wivu wao, chuki yao, laana zao, maovu yao na kila aina ya uchafu ambao wanao kwa ajili yangu katika jina la Yesu.

Naizungushia na kuizingira nyumba yangu na damu ya Yesu.

Naishungushia na kuizingira familia yangu na damu ya Yesu.

Nashungushia na kuzingira maisha yangu yote na damu ya Yesu.

Navunja laana zote zilizo semwa na mabau zangu katika jina la Yesu.

Navunja laana zato ambazo zilisemwa bila ya mimi kufahamu, nazivunja na kuziharibu kupitia damu ya Yesu na katika jina la Yesu.

Narudisha kila mali walizo ziiba kutoka kwangu katika jina la Yesu.

Narudisha kila baraka walizo ziiba kwangu katika jina la Yesu.

Narudisha amani na upendo katika familia yangu.

Damu ya Yesu ipo juu ya Maisha yangu na inasafisha kila uovu, kila uchawi unaaribiwa na damu ya Yesu katika jina la Yesu.

Leo hii mtaiona Nguvu iliyopo katika damu ya Yesu.

Katika Jina la Yesu aliye hai ninaomba.

Amen
Hivi akiomba kabla ya kuokoka maombi yake yatakuwa na nguvu?
Na baada ya kuomba bila kuwa na msingi wa imani katika Yesu Kristo hatatetereka na vita hivi vikubwa vya kupigana na mamlaka na jeshi la nguvu za giza?
Ok, any way ila ushauri wangu wa kwanza aokoke, amjue Yesu na mamlaka yake na for the time being awashirikshe kimaombi wapendwa watakaomwongoza katika wokovu wake na aendelee bila kukoma katika maombi na kwa ujasili siku aende shambani na wapendwa wafanye maombi hapo kabla ya kumvaa huyo mama kwa maswali na taratibu zingine.
 
Dawa ya wachawi ni bangi tuu..na yeyote anaechukia bangi ni mchawi!
 
Hapo kama unabunduki kamchalaze risasi za makalio, na umpige mkwala aende mwenyewe akajenge mpaka wako wa zamani asipofanya hivyo mwambie ukiludi tena unamuua, na polisi huogopi nakwambia huyo hata polisi haendi utashangaa kumbuka risasi za makalio sio sehemu nyingine
 
Hivi akiomba kabla ya kuokoka maombi yake yatakuwa na nguvu?
Na baada ya kuomba bila kuwa na msingi wa imani katika Yesu Kristo hatatetereka na vita hivi vikubwa vya kupigana na mamlaka na jeshi la nguvu za giza?
Ok, any way ila ushauri wangu wa kwanza aokoke, amjue Yesu na mamlaka yake na for the time being awashirikshe kimaombi wapendwa watakaomwongoza katika wokovu wake na aendelee bila kukoma katika maombi na kwa ujasili siku aende shambani na wapendwa wafanye maombi hapo kabla ya kumvaa huyo mama kwa maswali na taratibu zingine.
Je, unao uhakika kuwa huyu ndugu hajaokoka? Nevertheless, Satan tremble when we mention the Name above all names.

In the event the person is not born again. Here is what he should do:

Sala ya Toba
Inawezekana kabisa ya kuwa wewe unayesoma ujumbe huu hujaokoka - yaani hujampokea Yesu Kristo ndani ya moyo wako kama Bwana na Mwokozi wako. Lakini sasa umeona umuhimu wa kumpokea Yesu Kristo katika maisha yako.
Naamini Roho Mtakatifu ameweka fursa hii mikononi mwako kwa mpango maalum wa Mungu ili ufike mahali pa kutubu na kuokoka. Inawezekana kabisa, pia ya kuwa hujawahi kuambiwa juu ya umuhimu wa wewe kuokoka. Lakini napenda kukuambia ya kuwa ni mpango wa Mungu uokoke. Soma Wakolosai 1:13,14 na Yohana 1:12-14 na 1 Timotheo 2:3-6 na Warumi 1:16,17 na Yohana 3:7. Ni vigumu kuona baraka za Damu ya Yesu bila ya kuokoka.

Kwa hiyo kama unataka kuokoka - tafuta mahali palipo na utulivu, na usome kwa sauti sala ifuatayo: (ukiweza unaweza kupiga magoti unapoomba sala hii)

"Ee Mungu wangu ulie Mtakatifu. Ninakuja mbele zako. Mimi ni mwenye dhambi. Naomba unisamehe dhambi zangu zote nilizokukosea katika maisha yangu. Ninatubu kweli. Naomba damu ya Yesu Kristo iliyomwagika msalabani kwa ajili yangu initakase sasa katika roho yangu na nafsi yangu na mwili wangu. Nimefungua moyo wangu. Bwana Yesu Kristo nakukaribisha ndani yangu. Ingia kwa uwezo wa Roho wako – uwe Bwana na Mwokozi wangu kuanzia sasa na siku zote. Ahsante kwa kunisamehe na kwa kuniokoa. Nimejitoa kwako nikutumikie katika siku zote za maisha yangu. Shetani hana mamlaka tena juu yangu katika jina la Yesu Kristo. Amina.

Ikiwa umesoma sala hii kwa kukusudia kabisa na kwa imani, basi wewe umeokoka na dhambi zako zimesamehewa na kusahauliwa na Mungu sawasawa na alivyoandika katika neno lake. Damu ya Yesu iko juu yako sasa.
Baada ya kuokoka
Unapoanza maisha haya mapya katika Yesu Kristo nakushauri mambo yafuatayo:
1. Zungumza na Mungu kwa maombi kila siku (Yohana 15:7)
2. Soma Neno la Mungu (Biblia) kila siku (Matendo ya Mitume 17:11)
3. Mruhusu Roho Mtakatifu akutawale (Wagalatia 5:16-25; Warumi 8:14-17)
4. Umtumaini Mungu kwa kila jambo katika maisha yako (1Petro 5:7; Zekaria 4:6)
5. Usiache kukusanyika na kushirikiana na wengine waliompokea Yesu Kristo kuwa Mwokozi wao kama wewe ili uimarike zaidi (Waebrania 10:25)

Ukipenda unaweza kuniandikia kwa anwani yangu sehemu ya mawasiliano juu ya uamuzi uliofikia leo wa kuokoka, ili tumshukuru Mungu pamoja, na tuzidi kukuombea; na pia, tukutumie maandiko mengine ya kukusaidia:
 
Kuna ishu imenikumba juzi kati wakati nilipokuwa nafuatilia shamba la mzee wangu kwa ajili ya kulifanyia mchakato wa kulisafisha.
Kufika huko nimekutana na kitu tofauti na matarajio yangu.Yaani shamba limemegwa na mama mmoja na taarifa zikadai hajauziwa ila amekuja kuvamia.

Nilichokifanya nilimchukua anko wangu tukaanza kumtafuta huyo mama bahati nzuri tulikutana naye njiani siku moja.

Anko alipomuhoji kwanini amevamia eneo sio lake hakutujibu badala yake alimrushia anko jini akabaki anagalagala chini na yule mama akaondoka zake mpaka sasa anko kapooza na shamba limemegwa na nikiangalia msimu wa kilimo umekaribia.Je nifanyeje wadau ili niweze pata haki yangu.
N.B

Shamba lina hati zote ila uchawi tu ndio unanitisha.

Hakikisha Kila Uendapo Kulala UNAJIPAKA Kinyesi Mwili Mzima Na Huyo/Hao Wachawi Hutowaona Tena. Ni Dawa Kinga Nzuri.
 
Hayo ni masharti ya shetani na hutafanikiwa kweli kweli na kinyesi utakula kwani shetani kazi yake ni kuwachafua watoto wa Mungu aliye hai.

JIPAKE DAMU YA YESU NA JIFUNIKE KWA MOTO WA ROHO MTAKATIFU NA KEMEA KWA JINA LA YESU KAMA ALIVYOWEKA KWENYE SALA NDEFU NDUGU Telefunken HALAFU UTANIAMBIA MWENYEWE MATOKEO YAKE!!! ILA KWANZA KAA NA YESU KWA KUSEMA SALA YA TOBA NA HAKIKISHA YESU NI BWANA NA MWOKOZI WAKO, TUBU NA MWOMBE AKAE PAMOJA NAWE KWA KUMKARIBISHA KWA SALA YA TOBA, HALAFU ENDELEA NA KUKEMEA HAO WACHAWI NA MAPEPO YAO. HAKUNA NAMNA WATAKAVYOWEZA KUFURUKUTA NA MARA MOJA SHAMBA LITARUDI NA ANKO UMWOMBEE KWA JINA LA YESU NA ATAPONA WALA HAKUNA WASIWASI FANYA HIVYO HARAKA!

NASUBIRI KUSIKIA USHUHUDA WAKO HAPA MTANDAONI!
 
Muamini mwenyeezimungu pekee hakuna kiumbe chochote kitakachokusumbua.
 
Back
Top Bottom