Mnhhhh.....Akuambie siku anayoanza na siku ya harmtari ni ya 14 kutoka siku hiyo
Yaani mfano hiyo ya mwezi huu kaingia tarehe 18 sasa ukihesabu siku 14 utaona siku za hatari itaangukia kwenye tarehe mbili ya mwezi ujaoMkuu mbona nimeelezea kwa kina sana, rejea post unipe ushauri mzuri miss
Hivi haiwezekani mwanamke kuangukia katika tarehe moja kila mwezi?, mfano anaingia kila tarehe 10 ya kila mwezi , afu ukisoma kwenye mitandao wanakwambia katika siku yake ile ya hatari unaadd siku tatu mbele na siku tatu nyuma, kuna ukweli?Yaani mfano hiyo ya mwezi huu kaingia tarehe 18 sasa ukihesabu siku 14 utaona siku za hatari itaangukia kwenye tarehe mbili ya mwezi ujao
Mimi tarehe zangu hazieleweki km za mkeo, hizo kuadd siku tatu nyuma na mbele ni Kweli na ndo hata mimi huhesabu ivoHivi haiwezekani mwanamke kuangukia katika tarehe moja kila mwezi?, mfano anaingia kila tarehe 10 ya kila mwezi , afu ukisoma kwenye mitandao wanakwambia katika siku yake ile ya hatari unaadd siku tatu mbele na siku tatu nyuma, kuna ukweli?
Hiyo ni kweli kabisa mkuuHivi haiwezekani mwanamke kuangukia katika tarehe moja kila mwezi?, mfano anaingia kila tarehe 10 ya kila mwezi , afu ukisoma kwenye mitandao wanakwambia katika siku yake ile ya hatari unaadd siku tatu mbele na siku tatu nyuma, kuna ukweli?
Mimi tarehe zangu hazieleweki km za mkeo, hizo kuadd siku tatu nyuma na mbele ni Kweli na ndo hata mimi huhesabu ivo
Angalie usituzalie kijiji ndugu yangu ,njia rahisi ya uzazi wa mpango kwa wenye ndoa ni hiyo ya kalenda japo inahitaji mwanaume muelewa sana na anayekusikiliza vinginevyo ni kazi bure, binafsi naitumia sana japo kwa mtoto wangu huyu wa sasa niliishindwa mambo yalibana balaa matokeo yake nna mapacha wa nje na ulezi wake utajutia ulichokifanya na kusema si ungesubiri tuhahaha hakuna kitu ambacho nilishashindwa km hayo makitu jaman ! mie hazibadiliki hata kidg ila sasa nahesabu fresh tu lakini unajikuta next month huon mp !naudhika sana jaman !sitak kabs kusikia hizi kalenda ! wanangu wote nilienda na kalaenda lakini wapiiii! mie nahisg siku zote kwangu ni danger tu mxiew