SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Dec 15, 2015 #1 Wadau, habari zenu. Nimenunua laini ya halotel na ninataka nijiunge na bundle zao za internet. Kwa sasa hivi sijui kabisa codes zao za kuomba kujiunga na bundles za internet. Naomba mwenye kufahamu codes zao za internet bundles anitupie hapa. Asante
Wadau, habari zenu. Nimenunua laini ya halotel na ninataka nijiunge na bundle zao za internet. Kwa sasa hivi sijui kabisa codes zao za kuomba kujiunga na bundles za internet. Naomba mwenye kufahamu codes zao za internet bundles anitupie hapa. Asante
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,407 Reaction score 9,267 Dec 15, 2015 #2 *148*66#
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 23,051 Reaction score 28,106 Dec 15, 2015 #3 kijani11 said: *148*66# Click to expand... kijani11 nisaidie za airtel Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
NGOGO CHINAVACH JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 943 Reaction score 373 Dec 15, 2015 #4 Hiyo hapo kaz kwako Attachments 1450158302601.jpg 81.2 KB · Views: 286
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Dec 15, 2015 Thread starter #5 kijani11 said: *148*66# Click to expand... Thanks KIJANI 11. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,701 Reaction score 2,613 Dec 15, 2015 #6 Unafanyaje usajili wa namba? Yule dada aliyeniuzia alifanya lakini naona imedunda hadi leo!